Trump: Kama nisingekuwa Rais, Tungekuwa kwenye vita na North Korea

Trump: Kama nisingekuwa Rais, Tungekuwa kwenye vita na North Korea

Mwanzo ulitulisha matango pori kuhusu china. Wewe ndo umeandika kiushabiki aisee...
Naona umetetea kwa nguvu zote us
Ingawa China ni ya pili duniani kwa nguvu ya bahari lakini umewafanya kama jeshi la kwetu tu
Kama unachambua unaacha upendo pembeni na kuandika pande zote

Mimi sio mpenzi wa pande zote bali napendelea sana kufuatilia na kuona ubabe wao hawa mahasimu
Na sisi tunaweza kutengeneza gobole tu na mapanga
Sisi tunasoma tu wanachotambiana




Sent from my iPhone using Tapatalk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom