Trump: Kama nisingekuwa Rais, Tungekuwa kwenye vita na North Korea

Kuna wajuzi humu wa masuala nyeti ya taifa la Marekani kweli? Kama wapo basi hii Forum ni kiboko. Mambo ambayo majority ya wamarekani wenyewe hawaelewi.
usishangae mkuu ni ujuaji wa watanzania kila kitu wanajua wanachambua siasa za mambele ambazo hata wao wenyewe huko majuu hawajui juzi Mara kiduku kafa kumbe hajafa yupo zake
 

Naona umetetea kwa nguvu zote us
Ingawa China ni ya pili duniani kwa nguvu ya bahari lakini umewafanya kama jeshi la kwetu tu
Kama unachambua unaacha upendo pembeni na kuandika pande zote

Mimi sio mpenzi wa pande zote bali napendelea sana kufuatilia na kuona ubabe wao hawa mahasimu
Na sisi tunaweza kutengeneza gobole tu na mapanga
Sisi tunasoma tu wanachotambiana




Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Duu, tangu lini China amekua kiongozi katika kumiliki manowari nyingi za kivita??
 
Duu, tangu lini China amekua kiongozi katika kumiliki manowari nyingi za kivita??

China ndio anaongoza kwa wingi wa manowari za kivita duniani na hata ana wajeda wengi pia katika jeshi lake
Hili ni kweli China sio kuangalia fake items zake tu bali kawekeza haswa kwenye jeshi


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Mbona wewe hujatoa source kuwa China inaongoza kwa idadi ya manowari duniani?
 
Mbona wewe hujatoa source kuwa China inaongoza kwa idadi ya manowari duniani?

Kwa sababu takwimu hizo za 1000 sio za kweli
Ila google ina mambo yote na takwimu hizo hazipo
Hata akisema sauce ni yeye mwenyewe sawa tu


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Kama kuna uongo nilichokiandika onesha. Unasema nimetetea kwa nguvu wakati nimesema uhalisia. Kwanza najua unajua mimi sio timu US hata avatar yangu unaiona. Nisichopenda ni kujipa matumaini kwenye hakuna, kuishabikia Yanga hakumfanyi shabiki kuiona Simba ni maharage.
 

Na pia tunapozungumzia naval weapons vyombo vya maana ni Submarine na Destroyers

US ana destroyers 91 China anazo 36 ila tukiangalia Trend na ufisadi Pentagon China anaweza kuja kumpiku US kwenye idadi ya destroyers maana kutengeneza atatengeneza kwa bei rahisi sababu labour so cheap in China na viwanda husika ni mali ya serikali ya china

Russia wako upande mmoja na China now , si muda tutawasikia China wanafyatua Nuclear subs za idadi nzuri ili kikinuka upande wa Eastern Bloc unakuwa umebalance
 
Mbongo mpe picha tu, maelezo atayataapika yote katika haýo maelezo atakayoyatoa utasikia neno kama "unaambiwa"

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😇 “Unaambiwa siku kiduku kakutana na Potus alirushiwa drone mithiri ya mbu ikamsting shingoni,unaambiwa ndio kisa cha Hiyo surgery. Wabongo nahisi wanapitia kitivo cha propaganda tumboni mwa mama zao maana kila mtu ni mjuaji. Darasa la saba mjuaji, maamuma mjuaji, wasomi ndio balaa kabisa, wasahau mpaka profession zao sometimes.
 
Anachosema ni kweli kabisaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DON'T UNDERESTIMATE BEIJING!!
Wametuliza corona kwa kutumia technology za hali ya juu like never before!
 
Hahahhahahaha! Sawa sawa mkuu.
 
Sasa mkuu huo ufisadi wa Pentagon unatoka wapi na ushasema production costs za China ni ndogo kuliko za USA.
Unataka kulinganisha class za Zumwalt, Arleigh Burke na class gani pale China. Unailinganisha Liaoning na Ford class ama Nimitz class? Pamoja na idadi kuwa ndogo bado wana capability ndogo pia.
Nitajie ni ndege gani yenye VTOL kwenye navy ya China, nitajie early warning gani wanayo Wachina kama ilivyo kwa Hawkeye kwa US Navy.

Hizo submarine teknolojia yake si ya kitoto hata kidogo, kuiwezesha iwe stealth inaumiza kichwa na ni very cost. Na hata hivyo US kwenye underwater yuko mbele sana kuliko hata kwenye surface.
 
Reactions: Pep
Kuna siku nakumbuka nilimsikia mbunge mmoja wa US akiwa analalamikia gharama zautengenezaji wahaya madude kwamba sawa nigharama kubwa kweli ila sio kama zinavyo tangazwa kwahio kwakauli ile ya yule bwana mbunge kulikua na viashiria vya ufisadi sehemu

Kwan CHINA hawana vyombo ambavyo ni stealth na umakuta kost zake zina ingia zaidi ya mara tano kwa chombo ya kazi ile ile anamajukumu kama yale kwa US

-:sijapingana na ubora wavyombo vya US ila nimegusia kauli nloisikia ya yule Mbunge Mmoja siku moja na kauli yahuyu jamaa juu ya ufisadi.

Sent using My COVID-19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…