Trump: Kipaumbele cha Marekani iwe ulinzi wa shule siyo kuisaidia Ukraine

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Marekani imetakiwa kuhakikisha inawezesha kiuchumi suala la ulinzi wa shule za taifa hilo badala ya kutumia fedha nyingi kuisaidia Ukraine katika vita yake dhidi ya Urusi.

Ushauri huo umetolewa na Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump baada ya tukio la watoto 19 kuuawa kwa kufyatuliwa risasi darasani katika Jimbo la Texas siku chache zilizopita mwezi huu Mei 2022.

"Tunatumia trilioni nyingi kwa ajili ya Iraq na Afghanistan na huko hatupati chochote huko, yanini kuendelea kufanya hivyo wakati ulinzi wa shule zetu hauko katika hali nzuri,” anasema Trump.

Ikumbukwe mapema mwezi huu Marekani ilituma Dola bilioni 40 kama msaada wa kijeshi kwa Ukraine, jumla imetumia Dola bilioni 54 kuisaidia nchi hiyo tangu ianze vita dhidi ya Urusi, Februari 2022.

Source: BBC

=========================

Trump: US should fund safe schools before Ukraine

The US should prioritise funding for school security over aid to Ukraine, former President Donald Trump has said days after 19 Texas pupils were killed.

If the US can send billions to Ukraine, "we should be able to do whatever it takes to keep our children safe at home", he said at a pro-gun conference.

The meeting of the National Rifle Association (NRA), the largest US gun group, is taking place in Houston.

It comes three days after a mass shooting by a teenager in Uvalde.

"We spent trillions in Iraq and Afghanistan, and got nothing for it," Mr Trump continued in Friday's speech, drawing loud applause.

"Before we nation-build the rest of the world, we should be building safe schools for our own children in our own nation."

Earlier this month, the US Congress overwhelmingly voted to send nearly $40bn (£31bn) in military aid to Ukraine. In total, US lawmakers have sent about $54bn to Ukraine since Russia invaded in February.

Mr Trump rejected calls for tightened gun controls, saying decent Americans should be allowed firearms to defend themselves against "evil".

He instead proposed a "top-to-bottom overhaul" of school safety, with fortified single points of entry including metal detectors and at least one armed police officer on every campus. He accused Democrats of stonewalling such security measures.

The former Republican president began his speech by reading out the names of the Uvalde shooting victims, with each marked by a bell toll.

The annual conference of the NRA, which boasts of five million members, is taking place 280 miles (450 km) from Uvalde, the scene of the worst school shooting in the US in a decade.
 
Hivi vizee Trump na Biden waachwe wakalee wajukuu tu... nafasi yoyote ya uongozi hawawezi tena
 
Ninachompendea huyu mwamba sio mnafiki.

Nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe.

Ninakumbuka aliwahi tutukana watu wa Afrika hususani viongozi, watu wakamjia juu lakini alichosema kina ukweli upande wa pili wa shilingi ukiangalia juu ya viongozi wetu wa bara la Afrika.
 
Mzee wa MAREKANI KWANZA.....jamaa ana sera ya kila nchi ibebe mzigo wake .......Jambo ambalo waafrika tulimchukia[emoji23][emoji23]
 
Ninachompendea huyu mwamba sio mnafiki.

Nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe.

Ninakumbuka aliwahi tutukana watu wa Afrika hususani viongozi, watu wakamjia juu lakini alichosema kina ukweli upande wa pili wa shilingi ukiangalia juu ya viongozi wetu wa bara la Afrika.
Chuma hicho hakijawahi yumbishwa kitu kiliwahi kumchana mpaka papa Francis kikamwambia aache kihelehele😄
 
Unafiki ni Nini kwa tafsiri yako?

Huyo Trump na Republicans kazi yao ni KUPINGA "GUN CONTROL" kwasababu Pesa zinazotokana na uuzaji wa silaha zimewakolea.

Halafu anajifanya Kama shule Hazina Ulinzi. Ulinzi up wakati huo huo watu wanaruhusiwa kuwa na silaha na kutembea nazo sehemu yoyote.

Hapo unalinda vipi?
 
Hivi vizee Trump na Biden waachwe wakalee wajukuu tu... nafasi yoyote ya uongozi hawawezi tena
Shirikisha ubongo wako muda mwingine, hili ni jukwaa kubwa, wamarekani wametumia demokrasia yao kuwapa uongozi wewe ni nani to question that?hapa kila kukicha tunashuhudia teuzi ambazo tuna recycle ♻️ watu na wamarekani hawasemi chochote kwetu
 
Trump bora tu angekaa kimya kwenye izi inshu anazidi kijialibia tu na ulopokaji wake .

vyombo vywa habari vywa marekani avumuungi mkono kabisa . na ndio kila kitu kwenye siasa, sasa ivi wanamuona kama chawa wa urusi . sizani kama uchaguzi ujao atatoboa

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Ninachompendea huyu mwamba sio mnafiki.

Nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe.

Ninakumbuka aliwahi tutukana watu wa Afrika hususani viongozi, watu wakamjia juu lakini alichosema kina ukweli upande wa pili wa shilingi ukiangalia juu ya viongozi wetu wa bara la Afrika.
Marekani imetakiwa kuhakikisha inawezesha kiuchumi suala la ulinzi wa shule za taifa hilo badala ya kutumia fedha nyingi kuisaidia Ukraine katika vita yake dhidi ya Urusi.

Ushauri huo umetolewa na Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump baada ya tukio la watoto 19 kuuawa kwa kufyatuliwa risasi darasani katika Jimbo la Texas siku chache zilizopita mwezi huu Mei 2022.

"Tunatumia trilioni nyingi kwa ajili ya Iraq na Afghanistan na huko hatupati chochote huko, yanini kuendelea kufanya hivyo wakati ulinzi wa shule zetu hauko katika hali nzuri,” anasema Trump.

Ikumbukwe mapema mwezi huu Marekani ilituma Dola bilioni 40 kama msaada wa kijeshi kwa Ukraine, jumla imetumia Dola bilioni 54 kuisaidia nchi hiyo tangu ianze vita dhidi ya Urusi, Februari 2022.

Source: BBC

=========================

Trump: US should fund safe schools before Ukraine

The US should prioritise funding for school security over aid to Ukraine, former President Donald Trump has said days after 19 Texas pupils were killed.

If the US can send billions to Ukraine, "we should be able to do whatever it takes to keep our children safe at home", he said at a pro-gun conference.

The meeting of the National Rifle Association (NRA), the largest US gun group, is taking place in Houston.

It comes three days after a mass shooting by a teenager in Uvalde.

"We spent trillions in Iraq and Afghanistan, and got nothing for it," Mr Trump continued in Friday's speech, drawing loud applause.

"Before we nation-build the rest of the world, we should be building safe schools for our own children in our own nation."

Earlier this month, the US Congress overwhelmingly voted to send nearly $40bn (£31bn) in military aid to Ukraine. In total, US lawmakers have sent about $54bn to Ukraine since Russia invaded in February.

Mr Trump rejected calls for tightened gun controls, saying decent Americans should be allowed firearms to defend themselves against "evil".

He instead proposed a "top-to-bottom overhaul" of school safety, with fortified single points of entry including metal detectors and at least one armed police officer on every campus. He accused Democrats of stonewalling such security measures.

The former Republican president began his speech by reading out the names of the Uvalde shooting victims, with each marked by a bell toll.

The annual conference of the NRA, which boasts of five million members, is taking place 280 miles (450 km) from Uvalde, the scene of the worst school shooting in the US in a decade.
Trump hana ushawishi tena marekani ameiba hadi nyaraka za Ikulu kashikwa nazo, tukio la risasi mashuleni linatokezea tu ni rare case ata huko kwenu kina hamza si aliwafyatulia risasi lakini panya road pia wanakusumbueni
 
Trump bora tu angekaa kimya kwenye izi inshu anazidi kijialibia tu na ulopokaji wake .

vyombo vywa habari vywa marekani avumuungi mkono kabisa . na ndio kila kitu kwenye siasa, sasa ivi wanamuona kama chawa wa urusi . sizani kama uchaguzi ujao atatoboa

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ayo maneno hayatishi maaa ata 2016 wengi walimcheka lakin aliwakalisha wanasiasa 16 wa Republican na Hilary aliyejiita undefeatable [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Trump hana ushawishi tena marekani ameiba hadi nyaraka za Ikulu kashikwa nazo, tukio la risasi mashuleni linatokezea tu ni rare case ata huko kwenu kina hamza si aliwafyatulia risasi lakini

Chuma hicho hakijawahi yumbishwa kitu kiliwahi kumchana mpaka papa Francis kikamwambia aache kihelehele😄
Ninamkubali sana Trump, achilia madhaifu yake ya hapa na pale ila bado ninamuelewa katika mengi
 
Back
Top Bottom