Trump: Kipaumbele cha Marekani iwe ulinzi wa shule siyo kuisaidia Ukraine

Trump: Kipaumbele cha Marekani iwe ulinzi wa shule siyo kuisaidia Ukraine

marekani ana vuna alichopanda.
Binafsi siwaonei huruma.
Kama wameruhusu watu kumiliki silaha kupitiliza haya ndo matunda yake japo ni MACHUNGU ila wavune tu ndo walichopanda
 
Muhuni tu huyo! Tena jangili ndo maana anatetea sana mambo ya mabunduki maana anafaidika na hicho chama! Hata kipindi chake watu waliuliwa ovyo, sasa hivi ndo anajitia kudai shule zilindwe! Vitendo vyake ni vya kishetani na hii imedhihirika alivyohamasisha utekaji wa Capitol Hill mpaka watu wakafa! Mshenzi sana huyo!
 
marekani ana vuna alichopanda.
Binafsi siwaonei huruma.
Kama wameruhusu watu kumiliki silaha kupitiliza haya ndo matunda yake japo ni MACHUNGU ila wavune tu ndo walichopanda
Ungejitahidi kujua historia ya wao kururhusu umiliki wa bunduki! Ni sababu iliyoisha pitwa na wakati, sema wale wahuni kama Trump bado wanaishabikia!
 
Trump bora tu angekaa kimya kwenye izi inshu anazidi kijialibia tu na ulopokaji wake .

vyombo vywa habari vywa marekani avumuungi mkono kabisa . na ndio kila kitu kwenye siasa, sasa ivi wanamuona kama chawa wa urusi . sizani kama uchaguzi ujao atatoboa

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
"Vywa" umeirudia mara kadhaa. Una matatizo makubwa kuliko ya Trump, hujui kusoma na kuandika.

Ulikuwa mtoto uliyepuuzwa, neglected child. Vunja muendelezo, usipuuze wanao.

Issue / ishu, sio inshu.
Sidhani, sio sizani.
Sasa hivi, sio sasa ivi.
Uropokaji, sio ulopokaji
Kujiharibia, sio kujalibia
Hizi, sio izi
Vya, sio vywa
Havimuungi mkono, sio avimuungi
 
Ipo siku wazungu wataanza kuja kwenye kaburi la JPM kujutua upumbavu wao.
 
Unafiki ni Nini kwa tafsiri yako?

Huyo Trump na Republicans kazi yao ni KUPINGA "GUN CONTROL" kwasababu Pesa zinazotokana na uuzaji wa silaha zimewakolea.

Halafu anajifanya Kama shule Hazina Ulinzi. Ulinzi up wakati huo huo watu wanaruhusiwa kuwa na silaha na kutembea nazo sehemu yoyote.

Hapo unalinda vipi?
Nashangaa huu ushauri wa Trump una maana gani. Trump juzi katoka kuhudhuria mkutano wa chama cha industry ya mambo ya silaha. Tatizo kubwa kwa matumizi holela ya silaha, hivyo kama kweli anataka kuisaidia Marekani ashauri serikali ikaze masharti ya kumiliki silaha. Hili ndio suluhisho sahihi la changamoto za matumizi mabaya ya silaha. Trump ni mdau kwenye mambo ya silaha, na ushauri wake ni kuitwika Sserikali mzigo wa kuongeza ulinzi wakati ushauri mzuri ni kuwa na sheria yenye masharti magumu ya kumiliki silaha.
 
Issue siyo kushauri serikali, kikwazo Ni SERA za CHAMA chake kuhusu SILAHA ndio tatizo kubwa.

Kama anaweza azungumze na chama chake wabadilishe sera yao kuhusu SILAHA.
 
sawa acha waendelee kumiliki silaha.
hayo ndo maisha waliyoyachagua.
Ungejitahidi kujua historia ya wao kururhusu umiliki wa bunduki! Ni sababu iliyoisha pitwa na wakati, sema wale wahuni kama Trump bado wanaishabikia!
 
Muhuni tu huyo! Tena jangili ndo maana anatetea sana mambo ya mabunduki maana anafaidika na hicho chama! Hata kipindi chake watu waliuliwa ovyo, sasa hivi ndo anajitia kudai shule zilindwe! Vitendo vyake ni vya kishetani na hii imedhihirika alivyohamasisha utekaji wa Capitol Hill mpaka watu wakafa! Mshenzi sana huyo!
Waliuawa 30 na ngapi??
 
Daah kuishi Marekani kiujumla kunaanza kuwaforce watu kuwa overstressed hata kama wana mali nyingi. Na mwishowe sukari na obesity vitaendelea kuwasumbua daaah! nawaonea huruma.

Yaani nchi ina maresources kibao lakini maisha yake huyafurahii, huyafaudu😥 ata.

Fikiria eti mwanao akienda shuleni ubakie kumufikiria, kumustressia hadi jioni anarudi nyumbani maisha gani sasa hayo?

Kitoto cha kindergarten kila siku kipishane na mlinzi getini ma metal detectors na libunduki mkononi ndio kinaingia darasani kusoma a, e, i....😥

Sehemu yoyote haiwezi kuwa mbinguni kama watu wake hawatataka kufua panga[bunduki na vifaru] zao kuwa plau[kuwa vifaa vya uzalishaji na ufauduji maisha🤭.

Hapo itabidi wachague kati ya kuegemea zaidi kwenye usalama? au amani? usalama unaweza kuubinafsisha ila amani lazima ishirikishwe hapo watanyooka tu. Huwezi kuwa na amani peke yako lazima uishirikishe jamii na dunia nzima kwa ujumla!
 
Marekani hua anahangaika na ya nje, wakati ya ndani kwake yanamshinda...
 
Back
Top Bottom