mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Ungejitahidi kujua historia ya wao kururhusu umiliki wa bunduki! Ni sababu iliyoisha pitwa na wakati, sema wale wahuni kama Trump bado wanaishabikia!marekani ana vuna alichopanda.
Binafsi siwaonei huruma.
Kama wameruhusu watu kumiliki silaha kupitiliza haya ndo matunda yake japo ni MACHUNGU ila wavune tu ndo walichopanda
"Vywa" umeirudia mara kadhaa. Una matatizo makubwa kuliko ya Trump, hujui kusoma na kuandika.Trump bora tu angekaa kimya kwenye izi inshu anazidi kijialibia tu na ulopokaji wake .
vyombo vywa habari vywa marekani avumuungi mkono kabisa . na ndio kila kitu kwenye siasa, sasa ivi wanamuona kama chawa wa urusi . sizani kama uchaguzi ujao atatoboa
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Nashangaa huu ushauri wa Trump una maana gani. Trump juzi katoka kuhudhuria mkutano wa chama cha industry ya mambo ya silaha. Tatizo kubwa kwa matumizi holela ya silaha, hivyo kama kweli anataka kuisaidia Marekani ashauri serikali ikaze masharti ya kumiliki silaha. Hili ndio suluhisho sahihi la changamoto za matumizi mabaya ya silaha. Trump ni mdau kwenye mambo ya silaha, na ushauri wake ni kuitwika Sserikali mzigo wa kuongeza ulinzi wakati ushauri mzuri ni kuwa na sheria yenye masharti magumu ya kumiliki silaha.Unafiki ni Nini kwa tafsiri yako?
Huyo Trump na Republicans kazi yao ni KUPINGA "GUN CONTROL" kwasababu Pesa zinazotokana na uuzaji wa silaha zimewakolea.
Halafu anajifanya Kama shule Hazina Ulinzi. Ulinzi up wakati huo huo watu wanaruhusiwa kuwa na silaha na kutembea nazo sehemu yoyote.
Hapo unalinda vipi?
Issue siyo kushauri serikali, kikwazo Ni SERA za CHAMA chake kuhusu SILAHA ndio tatizo kubwa.Nashangaa huu ushauri wa Trump una maana gani. Trump juzi katoka kuhudhuria mkutano wa chama cha industry ya mambo ya silaha. Tatizo kubwa kwa matumizi holela ya silaha, hivyo kama kweli anataka kuisaidia Marekani ashauri serikali ikaze masharti ya kumiliki silaha. Hili ndio suluhisho sahihi la changamoto za matumizi mabaya ya silaha. Trump ni mdau kwenye mambo ya silaha, na ushauri wake ni kuitwika Sserikali mzigo wa kuongeza ulinzi wakati ushauri mzuri ni kuwa na sheria yenye masharti magumu ya kumiliki silaha.
Ungejitahidi kujua historia ya wao kururhusu umiliki wa bunduki! Ni sababu iliyoisha pitwa na wakati, sema wale wahuni kama Trump bado wanaishabikia!
Waliuawa 30 na ngapi??Muhuni tu huyo! Tena jangili ndo maana anatetea sana mambo ya mabunduki maana anafaidika na hicho chama! Hata kipindi chake watu waliuliwa ovyo, sasa hivi ndo anajitia kudai shule zilindwe! Vitendo vyake ni vya kishetani na hii imedhihirika alivyohamasisha utekaji wa Capitol Hill mpaka watu wakafa! Mshenzi sana huyo!
Naomba ufafanuzi mkuuu . Alisaidiwaje boss . Kwa kuiba Kura auTrump hafurahishwi na vita vya Russia maana yeye mwenyewe alisaidiwa na Russia kuingia madarakani