Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
TRUMP AMEBUGI!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo wewe mataifa 30 unayajua? Leo putin si tungemwokota jalalanMrusi anapambana na mataifa 30 ya NATO.
Hawa pro Russia wabish sana alafu waongo mno , Russia apigane na mataifa 30 mavi yake labda Russia wa tandale au wa kwenye genuinelyNa atufafanulie kuhusu majeshi ya NATO lini yalianza kuingia porini kupigana na mrusi, mana urusi hadi leo anasema NATO wakiingia yeye atashambulia kwa nuclear
Serikali ya marekani inaongozwa na mayahudi kwa asilimia kubwa, kwa hiyo ndo wenye kauli haswaa,Mayahudi hawaaminiki, yaliyomo katika vufua vyao ni tofauti sana na wanayoongea mdomoni, dini yetu ya kiislam imefahamisha hivyo kwa hawa jamaa. US walipokomea mtu akishashika madaraka kuna njia lazima apite
Kama hujui hapa hapakufai nendana na mkeo ukamsaidie kuchota maji kisimaniembu tufafanulie Urusi anapambanaje na hayo mataifa 30 ya NATO maana sisi tunaiona Ukraine tu inashambuliwa mbona haya mataifa ya NATO hayashambuliwi na urusi?
Mbona watalaban hawajawa vumbi?Ingekuwa ni hivyo russia saivi kungekuwa na vumbi tupu, Ukraine anapewa silaha tu mkuu
Habari ya udaku.
Aisee!Uongo mtupu...taja mataifa yaliyopeleka askari wake kupigana na Urusi huko Ukraine.
Ukraine anapambana na Urusi na Korea Kaskazini.
Korea Kaskazini anaisaidia Urusi kupigana na Ukraine huko KurskAisee!
Baada ya kuujua uwezo wako wa kufikiri na kupambanua mambo siku hizi nimepunguza kujadiliana na wewe.Korea Kaskazini anaisaidia Urusi kupigana na Ukraine huko Kursk
Achana na hawa pro Russia maana mwanzon walisema wanapigana na Dunia unajua bausa akikupiga ngumi lazma useme amekupiga na jiwe 😅😅😅😅😅😅😅Ingekuwa ni hivyo russia saivi kungekuwa na vumbi tupu, Ukraine anapewa silaha tu mkuu
How many NATO countries are helping Ukraine?Korea Kaskazini anaisaidia Urusi kupigana na Ukraine huko Kursk
Hii ni jana!Putin bado ana safari ndefu sana katika vita yake huko Ukraine
Gharama yake unaijua? Ameshindwa kuwalinda washirika wake.!! Ref. SyriaTime will tell. NATO ilishapoteza Ukreni kitambo sana tangu walipoamua kuingia vitani na Putin. Hilo shika kabisa, usisahau.
Russia inamiliki 25% ya ardhi ya Ukreni. Hapo vipi?
Yes hata mtume aliuwawa na binti wa kiyahudi. Mtume alikuwa na kawaida ya kupenda wanawake na kuoaioa. Alioa wanawake zaidi ya 10. Alepoea binti wa kiyahudi yule binti alimwekea sumu mtume na kisha mtume akaugua then akafa. Kabla ya kufa alipomuuliza binti wa kiyahudi sababu ya kumuwekea sumu akamjibu ''kuwa umeua sana ndugu zangu wa kiyahud''. Kwa sababu katika uislrmu kisasi ni halali basi mtume akafa zake. Wrkristo wamepewa mamlaka ya kukanyaga nge 🦂 na nyoka. Wameambiwa kura watakula vitu vya kufisha nao hawatakufa.Mayahudi hawaaminiki, yaliyomo katika vufua vyao ni tofauti sana na wanayoongea mdomoni, dini yetu ya kiislam imefahamisha hivyo kwa hawa jamaa. US walipokomea mtu akishashika madaraka kuna njia lazima apite
Hapa kp kipanya44 unasemaje?? Hii ni jana!Trump akiamua kuisapoti Ukraine itakuwa mbaya sana kwa urusi