Trump kuendelea kuisapoti Ukraine katika mapambano yake dhidi ya urusi

Trump kuendelea kuisapoti Ukraine katika mapambano yake dhidi ya urusi

Ingekuwa ni hivyo russia saivi kungekuwa na vumbi tupu, Ukraine anapewa silaha tu mkuu
We unasikitisha yaani the world largest nuclear armed force iwe imesambaratika halafu dunia ipo tu sema tungekuwa nasi hatupo maana nukes zingepigwa vya kutosha na ndio maana ni salama hawa mafahari wawili nato vs russia watulize mishono dunia itulie wanarisk usalama wa sayari yetu.
 
Back
Top Bottom