Trump: "Kutakuwa hakuna makubaliano yoyote na iran isipokuwa kujisalimisha bila masharti"

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
“Hakutakuwa na makubaliano yoyote na Iran isipokuwa kujisalimu amri bila masharti (UNCONDITIONAL SURRENDER). Baada ya hapo, na baada ya kuchaguliwa kwa kiongozi au viongozi bora na wanaokubalika, sisi pamoja na washirika na marafiki wetu wengi wazuri na jasiri tutafanya kazi bila kuchoka kuirudisha Iran kutoka ukingoni mwa uharibifu, na kuifanya kiuchumi kuwa kubwa zaidi, bora zaidi na yenye nguvu zaidi kuliko wakati mwingine wowote.

Iran itakuwa na mustakabali mzuri.

‘IFANYENI IRAN KUWA KUBWA TENA (MIGA!).’

Asanteni kwa kuzingatia suala hili.

Rais Donald J. Trump.”

20260306_205226.jpg
 
Ushuhuda kutoka kwa mtu wa Mungu aliye onyeshwa MAONI YA UFUNUO na Yesu...kwamba IRANI ina silaha hatari zaidi duniani zenye uweze mkubwa zaidi wa kuharibu sehemu kubwa zaidi ya duniani kuliko nchi yeyote duniani...

Na kwamba Yesu hataruhusu zitumike kabla hajawaondoa watu wake (watakatifu ama kanisa)..katika UNYAKUO WA WATAKATIFU...mana hizo silaha ambazo zimefichwa kwa siri IRANI ni silaha hatari kabisa duniani..YESU alimuonyesha mpaka zilipofichwa akamuelezea na uwezo wake wa kufanya madhara makubwa duniani...

TAKE HOME MESSAGE

UNYAKUO WA WATAKATIFU UMEKARIBIA sana...tengeneza mambo ya nyumba yako..hizi ni dakika za mwishoni....
 
Hakuna unyakuo ,ni fundisho la kitapeli
 
Hii bangi anayotumia trump msiilete bongo tutawehuka
 
Back
Top Bottom