Trump na Putin wakubaliana kumaliza vita vya Ukraine na Urusi

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
18,875
Reaction score
29,427
Screenshot_20250318_221243_X.jpg

"Tulikubaliana kusitisha mapigano mara moja kwenye sekta zote za Nishati na Miundombinu, kwa uelewa kwamba tutafanya kazi kwa haraka kufanikisha kwa ukamili kusitisha Mapigano, na hatimaye, MWISHO wa vita hivi vya kutisha kati ya Urusi na Ukraine.

Vita hivi visingeanza kamwe kama ningekuwa Rais! Mambo mbalimbali ya Mkataba wa Amani yalijadiliwa, ikiwa ni pamoja na ukweli kwamba maelfu ya askari wameuawa, na wote Rais Putin na Rais Zelenskyy wangependa kuona mwisho wake.

Mchakato huo sasa unaendelea kwa nguvu na utekelezaji kamili, na kwa matumaini, kwa ajili ya Ubinadamu, tutamaliza kazi hii!"

Ameandika Trump katika ukurasa wake wa Truth Social
 
Uwekweni wakijaribu kujuana
IMG_0865.jpeg
 
View attachment 3275634

Hili jambo ni jema! acha kuzimu ipatwe na njaa ya kunywa damu za watu ! watu wa Mungu.
 
Hivi vita havikua na ulazima wowote, kiukweli sio poa kwa mataifa ya wazungu kumalizana maana hapo ndio makobaz watapata mwanya wa kulazimisha dunia iingie kwenye uzombi wao.
 
kichaa kama shetani allah anayewadanganya kuna mademu huko kila mtu atapewa 72 wana macho kama vikombe viuno vipana kama marcopolo g7, kuna mito ya gongo na wanzuki.
Thibitisha kuwa ni uongo otherwise wewe ndio kama Trump 😃
 
Ila Kwa Putin kafika.
Maana hakuna Rais katika kizazi hiki anaemweza Putin.
putin huyu huyu aliyesema within 72 hrs atakuwa ameiteka ukraine yote na vita itakuwa imeisha, huyuhuyu aliyesema atakayemsaidia ukraine atapokea kpgo kzto at last ulaya na marekani walimsaidia ukraine kufyeka msululu wa magari vita, vifaru toka urusi na wanajesh waliokuwa wakielekea ukraine na hakufanya lolote unataka wamuweze kwa lipi sasa, alitoa tishio siraha za ulaya na marekan zsitumike kupga ndan ya urusi kwan naye atawajbu vp znapga au hazpgi. Sa unataka wamuwezeje.
 
Watu wanatafuta ni namna gani wapaishe chumi zao baada ya vita kumalizika huku sisi tukibaki kushangaa tu na kukodoa macho kwenye fensi.
 
View attachment 3275634
"Tulikubaliana kusitisha mapigano mara moja kwenye sekta zote za Nishati na Miundombinu, kwa uelewa kwamba tutafanya kazi kwa haraka kufanikisha kwa ukamili kusitisha Mapigano, na hatimaye, MWISHO wa vita hivi vya kutisha kati ya Urusi na Ukraine.

Vita hivi visingeanza kamwe kama ningekuwa Rais! Mambo mbalimbali ya Mkataba wa Amani yalijadiliwa, ikiwa ni pamoja na ukweli kwamba maelfu ya askari wameuawa, na wote Rais Putin na Rais Zelenskyy wangependa kuona mwisho wake.

Mchakato huo sasa unaendelea kwa nguvu na utekelezaji kamili, na kwa matumaini, kwa ajili ya Ubinadamu, tutamaliza kazi hii!"

Ameandika Trump katika ukurasa wake wa Truth Social
Putin ana uwezo wa kumaliza vita akitaka.
 
Hii vita bado sana trump hawez kuchukua point mapema hivyo
 
Mazungumzo ya simu kati ya Vladimir Putin na Donald Trump, ambayo yamelenga juu ya pendekezo la kusitisha vita nchini Ukraine, yamefanyika Jumanne, Machi 18. Mwishoni mwa mkutano huo, Kremlin imesema kuwa imekubali kusitisha mashambulizi kwenye miundombinu ya nishati nchini Ukraine kwa siku 30. Urusi imefahamisha Marekani kuhusu masharti yake ya kusitisha mapigano, ikiwa ni pamoja na kusitisha msaada wa nchi za Magharibi kwa Kyiv
 
Back
Top Bottom