Bado anakokotwa na vibwengo wa UlayaZele anasemaje
Trump kichaa"Ukijilazimisha kumwelewa utamuelewa!"
Huku anazima moto wa kuni kule anachochea moto wa gesi.
Chizi mwenye mamlaka.Trump kichaa
Kichaa kapewa rungu!!!Chizi mwenye mamlaka.
Trump kichaaHuyu trump ni muongo muongo sana si wa kuamini maneno yake.
Ila Kwa Putin kafika.Huyu trump ni muongo muongo sana si wa kuamini maneno yake.
Hili jambo ni jema! acha kuzimu ipatwe na njaa ya kunywa damu za watu ! watu wa Mungu.View attachment 3275634
"Tulikubaliana kusitisha mapigano mara moja kwenye sekta zote za Nishati na Miundombinu, kwa uelewa kwamba tutafanya kazi kwa haraka kufanikisha kwa ukamili kusitisha Mapigano, na hatimaye, MWISHO wa vita hivi vya kutisha kati ya Urusi na Ukraine.
Vita hivi visingeanza kamwe kama ningekuwa Rais! Mambo mbalimbali ya Mkataba wa Amani yalijadiliwa, ikiwa ni pamoja na ukweli kwamba maelfu ya askari wameuawa, na wote Rais Putin na Rais Zelenskyy wangependa kuona mwisho wake.
Mchakato huo sasa unaendelea kwa nguvu na utekelezaji kamili, na kwa matumaini, kwa ajili ya Ubinadamu, tutamaliza kazi hii!"
Ameandika Trump katika ukurasa wake wa Truth Social
Thibitisha kuwa ni uongo otherwise wewe ndio kama Trump 😃kichaa kama shetani allah anayewadanganya kuna mademu huko kila mtu atapewa 72 wana macho kama vikombe viuno vipana kama marcopolo g7, kuna mito ya gongo na wanzuki.
putin huyu huyu aliyesema within 72 hrs atakuwa ameiteka ukraine yote na vita itakuwa imeisha, huyuhuyu aliyesema atakayemsaidia ukraine atapokea kpgo kzto at last ulaya na marekani walimsaidia ukraine kufyeka msululu wa magari vita, vifaru toka urusi na wanajesh waliokuwa wakielekea ukraine na hakufanya lolote unataka wamuweze kwa lipi sasa, alitoa tishio siraha za ulaya na marekan zsitumike kupga ndan ya urusi kwan naye atawajbu vp znapga au hazpgi. Sa unataka wamuwezeje.Ila Kwa Putin kafika.
Maana hakuna Rais katika kizazi hiki anaemweza Putin.
Thibitisha kuwa ni uongo otherwise wewe ndio kama Trump
Putin ana uwezo wa kumaliza vita akitaka.View attachment 3275634
"Tulikubaliana kusitisha mapigano mara moja kwenye sekta zote za Nishati na Miundombinu, kwa uelewa kwamba tutafanya kazi kwa haraka kufanikisha kwa ukamili kusitisha Mapigano, na hatimaye, MWISHO wa vita hivi vya kutisha kati ya Urusi na Ukraine.
Vita hivi visingeanza kamwe kama ningekuwa Rais! Mambo mbalimbali ya Mkataba wa Amani yalijadiliwa, ikiwa ni pamoja na ukweli kwamba maelfu ya askari wameuawa, na wote Rais Putin na Rais Zelenskyy wangependa kuona mwisho wake.
Mchakato huo sasa unaendelea kwa nguvu na utekelezaji kamili, na kwa matumaini, kwa ajili ya Ubinadamu, tutamaliza kazi hii!"
Ameandika Trump katika ukurasa wake wa Truth Social
Hii vita bado sana trump hawez kuchukua point mapema hivyoView attachment 3275634