Trump: Nchi za BRICS zenye mpango wa kuikwepa Dola ya Marekani zitakumbana na ushuru wa asilimia 100, Wanaweza kwenda kutafuta “mjinga” mwingine

Kuna bidhaa marekni hauweiz kuzalisha maana ni maumivu kwenye solo amna atakayeweza kununua ..uchum wa usa sio wa uzalishaji bali ni wa huduma zaidi kwa hiyo sio rahis hivyo eti marekan atareplace soon hilo gap
 
Apple ikazalishwa marekani huku kwetu utauziwa 7.2m utaweza kununua
 
Umeona umechangia kitu cha maana sana sio
 
Na kwa afya uchumi wa nchi yoyoye lazima kuwe na option kulingana na vipata vya watu ukilazimisha hivyo manunguniko kww wananchi hayatakulets salama
 
Akili za Trump Dunia ni America!
Dunia ina watu zaidi ya Bilioni 8, US ina watu 500M. Ukinifungia soko la US si unaenda kuwauzia hao wengine?
 
DUNIA IMELAZIMISHWA KUWA DEPENDANT WA MAREKANI, BINAFSI SILIKUBALI NAAMINI YA KWAMBA, MAREKANI INAWEZA KUWA KAMA ENEO TENGE, NA DUNIA IKAENDELEA BILA TATIZO LOLOTE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…