Trump: Nchi za BRICS zenye mpango wa kuikwepa Dola ya Marekani zitakumbana na ushuru wa asilimia 100, Wanaweza kwenda kutafuta “mjinga” mwingine

Trump: Nchi za BRICS zenye mpango wa kuikwepa Dola ya Marekani zitakumbana na ushuru wa asilimia 100, Wanaweza kwenda kutafuta “mjinga” mwingine

Hujui uanchomaanisha.....soko namba 1 la Mchina ni Marekani. Marekani akizuia bidhaa za CHINA atakayeumia ni Mchina na sio MAREKANI....ukikosa soko ni moja kwa moja uzalishaji unakufa. Kwa marekani uzalishaji utaongezeka ili kufidia bidhaa zilizokuwa zinaingizwa tokea Uchina hivyo ni fursa nzauri kwano
Kuna bidhaa marekni hauweiz kuzalisha maana ni maumivu kwenye solo amna atakayeweza kununua ..uchum wa usa sio wa uzalishaji bali ni wa huduma zaidi kwa hiyo sio rahis hivyo eti marekan atareplace soon hilo gap
 
Kampuni ya Apple walihamishia viwanda vyao Marekani 2019, waliofaidika ni wamarekani walioajiriwa, Wamarekani kuongeza vipato, US kuongezaukusanyaji wa kodi husika, n.k.

Apple ikazalishwa marekani huku kwetu utauziwa 7.2m utaweza kununua
 
Kaka bila Marekani hamna China, zaidi ya $700+ Billion ya mapato ya China yanatoka US na anajua hilo! So ni muda wa kujitenga nao, ukipigwa 100% tariff ni kwamba hamna bidhaa yake itauzika tena US na Jinping hatokubali hili kwa namna yoyote.

BRICS ilichokosea ni kwamba imekaa ili kuua dollar sio kwa maendeleo yake, yani ni kikao cha wachawi! Ukianza vikao vya kuua wengine ni kwamba umefeli at the 1st place, maana unayetaka kumuua hatakaa kukusubiri ufanye yako bila kujilinda kwa nguvu kubwa kuliko yako! Sasa Marekani kashikilia mpini unamuuaje?
Umeona umechangia kitu cha maana sana sio
 
Kwani mpaka wanakuja kuagiza hizo bidhaa kwenye nchi zingine hizo bidhaa za ndani hazikuwepo au walikuwa hawazioni?
Viwanda vya nchini Marekani vina jiendesha kwa gharama kubwa sana hivyo kufanya bidhaa zao kuwa juu pia, ndio maana raia wa Marekani wanakimbilia kununua bidhaa za nchi nyingine.
Ni sawa na sisi hapa sukari ya kiwango cha juu kutoka Brazil ina uzwa kwa 1800 wakati sukari isiyo kuwa na ubora kutoka mtibwa inauzwa 3500 hicho ndo kitakacho wakuta wamarekani.
Na kwa afya uchumi wa nchi yoyoye lazima kuwe na option kulingana na vipata vya watu ukilazimisha hivyo manunguniko kww wananchi hayatakulets salama
 
Read here :
 

Attachments

  • FB_IMG_17383079797316358.jpg
    FB_IMG_17383079797316358.jpg
    349.3 KB · Views: 2
Akili za Trump Dunia ni America!
Dunia ina watu zaidi ya Bilioni 8, US ina watu 500M. Ukinifungia soko la US si unaenda kuwauzia hao wengine?
 
DUNIA IMELAZIMISHWA KUWA DEPENDANT WA MAREKANI, BINAFSI SILIKUBALI NAAMINI YA KWAMBA, MAREKANI INAWEZA KUWA KAMA ENEO TENGE, NA DUNIA IKAENDELEA BILA TATIZO LOLOTE
 
Back
Top Bottom