Umeanza upumbavu huu utoto wa kukebehi dini za watu humu Moderator wanaulea sana sijui wana ufurahia zinapoguswa dini zisizo zao ? SielewiWe piga bismilahi tu ukale alkasusu haya mambo yaache tu, dola haitaanguka kwa rakaa!
Ufahamu wako finyu sana anyway, bismilah = naanza (kiarabu) ni term tu kama kimakua na kihabeshi, alkasusu ni kinywaji kama chocolate na kahawa, hapo dini iko wapi kama sio kukariri uchafu na kukosa ufahamu wa mambo, elimu sasa ipo kiganjani kwa nini hamjielimishi vijana?? Kizazi cha hasara sana hikiUmeanza upumbavu huu utoto wa kukebehi dini za watu humu Moderator wanaulea sana sijui wana ufurahia zinapoguswa dini zisizo zao ? Sielewi
Haiwezekani anayejadiliwa Trump mpuuzi mmoja analeta hoja za kukebehi dini za wengine.
Mimi nachojua Mtaji wa USA ndo unaendesha viwanda China,hayo mengine siyajui.Hujui màana ya kupandisha ushur mkuu, maana yake bidhaa za ndani zitapewa kipaumbele na kuangalia soko nafuu zaidi. Kumbuka bidhaa anazozalisha china kupeleka Marekani siyo kwamba Marekani hazipo ndiyo maana umeambiwa na Mr Trump 'wonderful economy ' Sasa unahisi wamarekani Wana njaa? Kwa ufupi ni kwamba iwapo US itapandisha Kodi kwa bidhaa za china itabidi makampuni ya wamarekani yenye viwanda china kwa sababu ya cheap labours yatabidi yawe reallocated US ili kujiendesha kwa faida. Na hii itapelekea china kuanguka kiuchumi kwa raia wake kukosa ajira na serikali kukosa mapato ya mauzo. Trump akili kubwa yule Mzee.
Wanaoisifu marekani si wamekariri ila uliwaamTangu 2018 Trump ameanza kupambana na China kwenye trade war, sanctions, tariffs, decoupling na derisking
Hakuna hata kimoja alichofanikiwa nashangaa wanaozisifu hizo ngonjera zake.
Wachina walishampuuza kitambo
Wamekariri ama kukaririshwa ila data na facts hawana ukiwaambia walete data wanatoka mbio mwaka 2018 wakulima wa marekani walilia lia sana vikwazo aliikewa China ila anaelialia mlima Mboga Mboga wa us hapa tunawaongelea wale wakulima wakubwa wa huko us ila wamarekani wa hapa jf hawalijui ama hawataki kusikia hiliTangu 2018 Trump ameanza kupambana na China kwenye trade war, sanctions, tariffs, decoupling na derisking
Hakuna hata kimoja alichofanikiwa nashangaa wanaozisifu hizo ngonjera zake.
Wachina walishampuuza kitambo
Wamekua sababu wanatumia akili zao vyemaChina ni gaidi wa uchumi,yeye kazi yake ni kukusanya tuu hakuna jingine.Hawajui hata kuchangia maafa wao ni kukusanya na kuuza tuu,kwanini Hawa watu Wana roho mbaya hivi,ilikuwaje wakakua hivi na huku Japan ikipotea kiasi hiki,India nao ni walewale wanajua kukamua tuu
Iwe kwa jinsi unavyoona.....Rubbish,
Umeanza kwa kujihami eti ukiweka mahaba pembeni, halafu ukayatumia hayo hayo mahaba!
Wewe mmarekani mweusi wa Nzega unafikiri unaweza kusema jambo baya dhidi ya Marekani?
Wagalatia mmekariri sana.
Ulitaka China aje anunulie maji ya kunywa watu wako kariakoo ? Huku serikali yako ikinunulia simba na yanga magoli ? Zimo weweChina ni gaidi wa uchumi,yeye kazi yake ni kukusanya tuu hakuna jingine.Hawajui hata kuchangia maafa wao ni kukusanya na kuuza tuu,kwanini Hawa watu Wana roho mbaya hivi,ilikuwaje wakakua hivi na huku Japan ikipotea kiasi hiki,India nao ni walewale wanajua kukamua tuu
Sasa kwanini wasitumie huo mtaji kuendesha viwanda vya marekaniMimi nachojua Mtaji wa USA ndo unaendesha viwanda China,hayo mengine siyajui.
Wewe kwa akili yako Mchina anaogopa maneno ya Trump?Mchina ndumilakuwili atawachomolea fyuzi wenzake.....
Exactly na matokeo yake products za China zitakua expensive kuliko za ndani au nchi zingine, so wanunuzi watanunua za wapi?? Common sense tu wala sio majazba, imani au uchawi - typical business
Exactly, interconnection ya China na US ipo ndani sana juu ya vikao vya Brics na India pia so most likely wakipigwa na hiyo 100% tarrifs watavurugana ukiacha na intelligence inayoendeleaMimi nachojua Mtaji wa USA ndo unaendesha viwanda China,hayo mengine siyajui.
🤔🤔 Siyo 26% kweliAcha kukalili mpaka mwaka 1990 Marekani alikuwa ana miliki zaidi ya nusu zima ya uchumi wa dunia lakini mpaka wakati huu mwaka 2024 Marekani ameshushwa na kwa sasa anamiliki %17 tu ya uchumi wa dunia.
Muongo mkubwa weweHiyo ndio asilimia 90% kuna vichaa wengi sana humu.
Kwa akili yako China anafanya biashara na marekani pekee.
Hata trade partner mkubwa wa China sio marekani
Hujui duania wewe! Unamkomoa mtu kwa sababu una uwezo wa kumkomoa. China bado sana. Hana nguvu za kuweza kumkomoa USA.Hizo ni beats tu kama zile za Dr.Dre....Mipango ya Brics iko pale pale tena Trump asivyoipenda China ndio muda mzuri wa China kumkomoa
Vipi ile Sanction ya Huawei Bado wako sokoni Huawei?Tangu 2018 Trump ameanza kupambana na China kwenye trade war, sanctions, tariffs, decoupling na derisking
Hakuna hata kimoja alichofanikiwa nashangaa wanaozisifu hizo ngonjera zake.
Wachina walishampuuza kitambo
Huna akili unajua ASEAN ina changia kiasi gani ?Muongo mkubwa wewe
Ila marekani anao huo uwezo ?Hujui duania wewe! Unamkomoa mtu kwa sababu una uwezo wa kumkomoa. China bado sana. Hana nguvu za kuweza kumkomoa USA.
Juzi wamezindua simu yenye teknolojia kali huku kila kitu wakitegemea toka nchini kwao.Vipi ile Sanction ya Huawei Bado wako sokoni Huawei?
Waambie wewe kiazi, mimi mhogo nitaambiwa nina mizizi. Wao wanadhani hizi ''takataka'' za mchina zinazokuja Afrika ndizo zinakuza uchumi wa China. Soko la mchini liko kwenye mataifa yaliyoendelea na wakiamua kumkomesha wanaweza.Kaka bila Marekani hamna China, zaidi ya $700+ Billion ya mapato ya China yanatoka US na anajua hilo! So ni muda wa kujitenga nao, ukipigwa 100% tariff ni kwamba hamna bidhaa yake itauzika tena US na Jinping hatokubali hili kwa namna yoyote.
BRICS ilichokosea ni kwamba imekaa ili kuua dollar sio kwa maendeleo yake, yani ni kikao cha wachawi! Ukianza vikao vya kuua wengine ni kwamba umefeli at the 1st place, maana unayetaka kumuua hatakaa kukusubiri ufanye yako bila kujilinda kwa nguvu kubwa kuliko yako! Sasa Marekani kashikilia mpini unamuuaje?