macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Hiyo trade war gani tena na ilileta madhara gani kwa USA?Ila marekani anao huo uwezo ?
Trade war ya 2018 ulifuatilia ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo trade war gani tena na ilileta madhara gani kwa USA?Ila marekani anao huo uwezo ?
Trade war ya 2018 ulifuatilia ?
Mchina hathubutu kamwe.Hapo ni wawili tu........india au china mmoja wapo aking'oa nanga waliobaki ni taka taka
BRICS ni upuuzi ulioshindwa kabla ya kuanza. Nchi za Africa zilizokimbilia BRICS hata hazikuwa zinaelewa BRICS ni nini, zenyewe zilijua ni shirika jipya la kutoa misaada😀Kaka bila Marekani hamna China, zaidi ya $700+ Billion ya mapato ya China yanatoka US na anajua hilo! So ni muda wa kujitenga nao, ukipigwa 100% tariff ni kwamba hamna bidhaa yake itauzika tena US na Jinping hatokubali hili kwa namna yoyote.
BRICS ilichokosea ni kwamba imekaa ili kuua dollar sio kwa maendeleo yake, yani ni kikao cha wachawi! Ukianza vikao vya kuua wengine ni kwamba umefeli at the 1st place, maana unayetaka kumuua hatakaa kukusubiri ufanye yako bila kujilinda kwa nguvu kubwa kuliko yako! Sasa Marekani kashikilia mpini unamuuaje?
Bidhaa za Urusi kwetu ni Vodka na Baltica.30 October 2024
Tanzania inaweza kuwa kitovu cha biashara kwa bidhaa za Urusi kuingia katika soko la Afrika - waziri Maxim Reshetnikov
DAR ES SALAAM. Oktoba 29 (Interfax) - Nafasi nzuri ya Tanzania kwenye ufuo wa Bahari ya Hindi inairuhusu kuwa sehemu moja ya bidhaa za Urusi kuingia katika soko la Afrika na kuendeleza ukanda wa usafirishaji wa Kaskazini-Kusini, Waziri wa Maendeleo ya Uchumi wa Urusi Maxim Reshetnikov alisema katika mkutano huo. Jukwaa la biashara kati ya Urusi na Tanzania Jumanne.
View attachment 3166304
Jukwaa hilo ni sehemu ya makubaliano na maazimio yaliyoongelewa wakati wa ziara rasmi ya ujumbe wa Urusi nchini Tanzania kwa mkutano wa kwanza wa tume ya ushirikiano wa serikali mbili.
"Tumeainisha vipaumbele vya kimkakati. Kwanza, vifaa. Nafasi nzuri ya kijiografia ya Tanzania kwenye pwani ya Bahari ya Hindi na kuunganishwa na nchi zingine za Afrika inafungua fursa kubwa kwa Urusi. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaweza kuwa sehemu moja kuu yaani kitovu cha biashara za bidhaa zetu za Urusi kuingia ndani ya bara la Afrika na kuendeleza ukanda wa uchukuzi wa Kaskazini-Kusini Kwa upande wake, huku pia nchi yetu inaweza kuipatia Tanzania fursa ya soko la Umoja wa Kiuchumi wa Eurasia," Reshetnikov alisema.
Ushirikiano wa nishati una uwezo mkubwa, alisema. "Hii ni pamoja na matumizi ya amani ya nishati ya atomiki, ujenzi wa vifaa vya nishati mbadala, na uchimbaji wa rasilimali za madini," Reshetnikov alisema.
"Kilimo, dawa, uchumi wa kidijitali, mazingira ya mijini na, kwa hakika, utalii ndio jambo linalozingatiwa. Tuko tayari kujadili yote hayo na kutatua matatizo ya makazi na mawasiliano kati ya benki katika nchi zetu kwa pamoja," alisema.
Urusi pia inavutiwa na miradi ya pamoja ya kijamii, ikijumuisha ile ya elimu, sayansi na afya, Reshetnikov alisema.
Una hoja tena nzuri sana. Watanzania hatujitambui na hatujui sisi wenyewe ndiyo wa kuijenga Tanzania.Ulitaka China aje anunulie maji ya kunywa watu wako kariakoo ? Huku serikali yako ikinunulia simba na yanga magoli ? Zimo wewe
Mnashindwa kujenga nchi zenu mnasubiri China na India waje wawajengea, akili zimo kweli ?
Muwe na kundi kubwa la watu wenye akili kama zako unafikiri kuna kuendelea kweli ? Haishangazi kuona hii nchi haiendelei kama vichwa vilivyo jaa ndio hivi
Wewe uliyopo huko Liwale unasema BRICS ni upuuzi ila Trump ambaye ndiye Rais ajaye wa US anaihofia BRICS na kuanza kuweka vimikwala,BRICS ni upuuzi ulioshindwa kabla ya kuanza. Nchi za Africa zilizokimbilia BRICS hata hazikuwa zinaelewa BRICS ni nini, zenyewe zilijua ni shirika jipya la kutoa misaada😀
Hiyo trade war gani tena na ilileta madhara gani kwa USA?
Kuna watu wapumbavu wengi sana hapa nchiniWewe uliyopo huko Liwale unasema BRICS ni upuuzi ila Trump ambaye ndiye Rais ajeye wa US anaihofia BRICS na kuanza kuweka vimikwala,
Una uhakika kua akili zako unazo kichwani au umeziweka kwenye mfuko wa shati?
Trump huyu anayetaka kuweka tariff asimilia 60% mpaka 100% kwa EVs za China akikutana na maoni yako aka translate atasema hakika Tanzania imejaza mbumbumbu.Mchina hathubutu kamwe.
Juzi hapa wamekuwa rejected Visa kwenda kufanya maonyesho ya Magari ya ueme California, wanahaha ile mbaya, serikali inabembeleza wakae ili walitafutie ufumbuzi hilo swala
Akili hamna hapa debe tupu.BRICS ni upuuzi ulioshindwa kabla ya kuanza. Nchi za Africa zilizokimbilia BRICS hata hazikuwa zinaelewa BRICS ni nini, zenyewe zilijua ni shirika jipya la kutoa misaada😀
Bidhaa za Urusi ni kama nini vile? Zamani kulikuwa na taxi zinazoitwa Lada. Labda watuletee malori ya Kamaz au mafuta.30 October 2024
Tanzania inaweza kuwa kitovu cha biashara kwa bidhaa za Urusi kuingia katika soko la Afrika - waziri Maxim Reshetnikov
DAR ES SALAAM. Oktoba 29 (Interfax) - Nafasi nzuri ya Tanzania kwenye ufuo wa Bahari ya Hindi inairuhusu kuwa sehemu moja ya bidhaa za Urusi kuingia katika soko la Afrika na kuendeleza ukanda wa usafirishaji wa Kaskazini-Kusini, Waziri wa Maendeleo ya Uchumi wa Urusi Maxim Reshetnikov alisema katika mkutano huo. Jukwaa la biashara kati ya Urusi na Tanzania Jumanne.
View attachment 3166304
Jukwaa hilo ni sehemu ya makubaliano na maazimio yaliyoongelewa wakati wa ziara rasmi ya ujumbe wa Urusi nchini Tanzania kwa mkutano wa kwanza wa tume ya ushirikiano wa serikali mbili.
"Tumeainisha vipaumbele vya kimkakati. Kwanza, vifaa. Nafasi nzuri ya kijiografia ya Tanzania kwenye pwani ya Bahari ya Hindi na kuunganishwa na nchi zingine za Afrika inafungua fursa kubwa kwa Urusi. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaweza kuwa sehemu moja kuu yaani kitovu cha biashara za bidhaa zetu za Urusi kuingia ndani ya bara la Afrika na kuendeleza ukanda wa uchukuzi wa Kaskazini-Kusini Kwa upande wake, huku pia nchi yetu inaweza kuipatia Tanzania fursa ya soko la Umoja wa Kiuchumi wa Eurasia," Reshetnikov alisema.
Ushirikiano wa nishati una uwezo mkubwa, alisema. "Hii ni pamoja na matumizi ya amani ya nishati ya atomiki, ujenzi wa vifaa vya nishati mbadala, na uchimbaji wa rasilimali za madini," Reshetnikov alisema.
"Kilimo, dawa, uchumi wa kidijitali, mazingira ya mijini na, kwa hakika, utalii ndio jambo linalozingatiwa. Tuko tayari kujadili yote hayo na kutatua matatizo ya makazi na mawasiliano kati ya benki katika nchi zetu kwa pamoja," alisema.
Urusi pia inavutiwa na miradi ya pamoja ya kijamii, ikijumuisha ile ya elimu, sayansi na afya, Reshetnikov alisema.
Article nyingine ni za kusoma kwa kutumia ufahamu mpana na references nyingi huku ukiangalia hali halisi. Ki-uhalisia kipindi hicho cha Trump hatukushuhudia USA ikiumia ki-uchumi kwa sababu ya trade war. Google wakati mwingine inaweza kukupotosha kama hujui ni nini unafanya.![]()
More pain than gain: How the US-China trade war hurt America
The ultimate results of the phase one trade deal between China and the United States — and the trade war that preceded it — have significantly hurt the American economy without solving the underlying economic concerns that the trade war was meant to resolve, write Ryan Hass and Abraham Denmark.www.brookings.edu
Nataka kuona wakimkomesha sasa hivi maana maslahi yao na ukubwa wao upo mashakani sababu ni China.Waambie wewe kiazi, mimi mhogo nitaambiwa nina mizizi. Wao wanadhani hizi ''takataka'' za mchina zinazokuja Afrika ndizo zinakuza uchumi wa China. Soko la mchini liko kwenye mataifa yaliyoendelea na wakiamua kumkomesha wanaweza.
ALIWAHI kumpiga biti Emanuel Macron wa ufaransa ambae alijaribu kuongezea ushuru kwa bidhaa za US zinazoinhis france...alimpa warning kwa kumpigia simu kwamba anapandisha ushuru kwa 100% na anafanya kwel...Macron alinyanyua mikono juu na kufanya kama Trump anavyosema .. Trump atafanya hivyo na mchina ambae soko lake kubwa ni America atanyoosha mikono juu. Hata muhindi ambae ni rafiki mkubwa wa marekani atasimama nae.... BRICS wataanzisha sarafu Yao sawa lkn hawataacha dollar na hawataipiki dollar..na Kila biashara huko America watafanya kwa dollar...ilianzishwa Euro kwani imeifanya nini dollar??Hizo ni beats tu kama zile za Dr.Dre....Mipango ya Brics iko pale pale tena Trump asivyoipenda China ndio muda mzuri wa China kumkomoa
Analysis yako ni ya kipori-pori kweli kweli. Kwa nini sasa China halazimishi hiyo yuan yake itumike kama ulivyosema? Jibu ni kuwa biashara ya duania haiko rahisi kama unavyodhani wewe.Labda watu wamekuwa wajinga kupindukia au uwezo wangu wa kufikiria umeporomoka beyond reasonable doubts.
Marekani ni nchi iliyoendelea, hivyo ni nchi yenye viwanda vya karibia kila bidhaa wao wanaitengeneza. Hili linamfanya USA kuhitaji raw materials nyingi kuliko finished products ili aweze kuvisustain viwanda vyake. Juu ya yote, hakuna bidhaa inayoongaza kuuzwa na Marekani kama shilingi yake.
BRICS inataka kuanza kuuza bidhaa zao kwa shilingi zao, sio tena dollar. Mfano, vitu vyote China anavyoviuza nje, basi analipwa kwa dollar, vyote anavyonunua alinapa kwa dollar. Ina maana biashara zote za mchina malipo yake ni dollar. Kama mchina akiamua kuanza kuuza bidhaa zake kwa yuan, inamaanisha nchi zote duniani zitakazotaka kufanya biashara n mchina itabidi zinunue Chinese yuan kwanza, ndio zikanunue bidhaa za kichina.
Ukizingatia mchina anafanya biashara na takriban Dunia nzima, basi Dunia nzima itabidi inunue pesa ya mchina*yuan kwanza badala ya dola ndio iendeleze biashara n mchina. Hili litainufaisha China kuliko maelezo, maana bidhaa yake kuu itakuwa ni pesa ya China, ndio bidhaa nyingine zifuate.
USA n mchina hakuna anayemtegemea mwenzie 100%, Ina wote wanategemeana, haswa USA anamtegemea mchina zaidi. ¹Anahitaji mchina auze na anunue kutumia dola, ² analihitaji soko la kichina linunue bidhaa zake ghali na ³anahitaji mchina amuuzie malighafi ili viwanda vyake visife. Mchina analihitaji soko la bwanyenye la usa tu ili aweze kuziuza bidhaa zake USA.
Hapo nimemtumia mchina kama mfano. Ila kumbukeni tunaiongelea brics nzima. USA inaihitaji brics kuliko brics inavyomhitaji. Maana dhumuni kuu la kuundwa kwa brics ni kuunda soko kubwa (nchi wanachama zitegemeane kimasoko) ili ziweze kulipotezea soko la USA.
Kwa sasa USA ananunua gesi n mafuta ya mrusi kwa rubbles. Na huu ni mwanzo tu, sasa itakuwa brics nzima. Hii nchi zitaendelea n kupiga hatua bila ya USA kuliko hata alipokuwepo. USA amewapa soko la Bure, ila anawanyonya kupita maelezo. Kama mnavyojua, mfa maji haishi kutapatapa. Hivyo USA anguko lake sasa rasmi limefika. Potelea mbali *****, skuizi watu sio washenzi kama zamani. Putin ndio anguko la USA rasmi. Ndio maana USA yupo tayari kutumia matrilioni ya dola za kimarekani kumuondoa putin kwenye uso wa Dunia lakini hawezi. Juu ya yote, kumbukeni kauli mbiu ya brics ni kuzisaidia nchi wanachama kukuwa kiuchumi na sio kuendelea kumsaidia USA aendelee kuwa tajiri hasi duniani. Aishi maisha marefu putin, Aishi maisha marefu putin. Tunaihitaji Dunia bila mashoga.
Twende article kwa article acha mpempelele nyingiArticle nyingine ni za kusoma kwa kutumia ufahamu mpana na references nyingi huku ukiangalia hali halisi. Ki-uhalisia kipindi hicho cha Trump hatukushuhudia USA ikiumia ki-uchumi kwa sababu ya trade war. Google wakati mwingine inaweza kukupotosha kama hujui ni nini unafanya.
Kosa kubwa ni kufananisha mbwa za marekani ulaya[ mataifa ya ulaya ] na China ongeza Russia,Iran,North KoreaALIWAHI kumpiga biti Emanuel Macron wa ufaransa ambae alijaribu kuongezea ushuru kwa bidhaa za US zinazoinhis france...alimpa warning kwa kumpigia simu kwamba anapandisha ushuru kwa 100% na anafanya kwel...Macron alinyanyua mikono juu na kufanya kama Trump anavyosema .. Trump atafanya hivyo na mchina ambae soko lake kubwa ni America atanyoosha mikono juu. Hata muhindi ambae ni rafiki mkubwa wa marekani atasimama nae.... BRICS wataanzisha sarafu Yao sawa lkn hawataacha dollar na hawataipiki dollar..na Kila biashara huko America watafanya kwa dollar...ilianzishwa Euro kwani imeifanya nini dollar??
Hongera mwenye akiliAkili hamna hapa debe tupu.
Mabara yote sasahivi yanafuata bidhaa china. Trump ameshachelewa sanaTunasema kila siku dollar imeumbwa na kujengwa kwa nguvu na fitna na ubabe, na hamna wa kuishusha bila kuadhirika yeye! Mchina hawezi kwa namna yoyote kupoteza soko la Marekani! Na hamna US haitokubali kwa namna yoyote kupoteza ukaka mkubwa! Ilijaribu Euro ikafa kifo cha kawaida sembuse hizi nchi zenye umri usiozidi miaka 100? Yetu macho, wahafidhina wa Urusi na washabiki wa vita povu ruksa.