Trump: Ndege zetu za B-2 zipo njiani kurudi Marekani baada ya kukamilisha Mission

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
9,397
Reaction score
12,415
Marekani imeishambulia maeneo ya nyuklia ya Iran kwa makombora ya B-2 , amesema afisa wa Marekani.

Screenshot_20250622_094530_Gallery.jpg

Rais wa Marekani Donald Trump anasema Marekani imekamilisha mashambulizi kwenye maeneo matatu ya nyuklia nchini Iran, ikiwa ni pamoja na Fordo, Natanz na Esfahan.

Fordo 'imeenda', aliandika Trump kwenye ujumbe wake kwenye mtandao jukwaa la ujasusi la kijamii.

"Tumekamilisha shambulio letu lililofanikiwa sana kwenye maeneo matatu ya Nyuklia nchini Iran, ikiwa ni pamoja na Fordow, Natanz, na Esfahan. Ndege zote sasa ziko nje ya anga ya Iran," aliandika kwenye Truth Social.

Trump aliongeza kuwa "mzigo kamili wa mabomu" ulirushwa Fordo na ndege zote zilikuwa njiani kurudi Marekani.

Ndege za kivita za Marekani B-2 ambazo ndizo zenye uwezo pekee wa kupiga makombora kwenye kufikia maeneo ya nyuklia ya Iran yalipo chini ya ardhi, awali yaliripotiwawalikuwa wameripotiwa kuhamishiwa katika eneo la kisiwa cha Marekani cha Guam, na kusababisha uvumi kwamba ndege hiyo inaweza kuhusika katika shambulio la Marekani dhidi ya Iran.
 
USA sijui wataficha wapi aibu hii Bom lililoaminiwa kuwa karata ya mwisho ya kuharibu Nuclear Facilities za Iran limefeli wameshambulia kituo cha Fordow lakini wananchi wanaoishi Mji wa Qom uliokaribu na hicho kituo cha Nuclear hawajashtuka hata usingizini.

Hakuna mripuko wowote wa Uranium ulioonekana wala vumbi la mionzi kusambaa popote, karata yao ya mwisho imefeli mpango wa Nuclear wa Iran haujaharibiwa na Israel anaendelea kupata hasara bila lengo kutimia
 
mnajitahidi sana kufanya propaganda ila tayari mashambulizi yamefanyika na unaambiwa ndege zipo angani zinarudi amerika
 
🤣
Acha bhana
 
Vip mwananchi unaeish tandale unajua habari za wananchi wa iran?
 
mnajitahidi sana kufanya propaganda ila tayari mashambulizi yamefanyika na unaambiwa ndege zipo angani zinarudi amerika
Ulitaka ziendelee kubaki wakati shambulizi limefeli? Unafikiri Nuclear ni sufuria la makande kwamba ikishambuliwa unaweza kulificha uvunguni na ukaweka propaganda kuwa haijashambuliwa? Nuclear facility ikishambuliwa lazima Uranium iliyorutubishwa iripuke mionzi isambae.

Kwahiyo hakuna propaganda yoyote shambulio limefeli
 
USA sijui wataficha wapi aibu hii Bom lililoaminiwa kuwa karata ya mwisho ya kuharibu Nuclear Facilities za Iran limefeli wameshambulia kituo cha Fordow lakini wananchi wanaoishi Mji wa Qom uliokaribu na hicho kituo cha Nuclear hawajashtuka hata usingizini.

Hakuna mripuko wowote wa Uranium ulioonekana wala vumbi la mionzi kusambaa popote, karata yao ya mwisho imefeli mpango wa Nuclear wa Iran haujaharibiwa na Israel anaendelea kupata hasara bila lengo kutimia
Ila kobazi na ukenge ni mapacha
 
We kobasi huna akili, ku run hiyo ndege kwa saa ni $135,000, unajua ni umbali gani itatembea na Kwa gharama gani kurudi?

Mission imefanikiwa ndo maana wanarudi, umemsikiq Netanyahu alivyoshukuru Marekani na Trum?

Peace through strength, strength first then peace, hata kama wanakuja mezani, wanakuja mikia ikiwa lile eneo.
 
😂😂japan tu mwaka 2011 mionzi ya nyuklia ili vuja baada ya earth quick, ili leta madhara makubwa sana zaidi ya watu 20k walifkufa ,lakini Iran kimyaaa
 
Ulitaka ziendelee kubaki wakati shambulizi limefeli? Unafikiri Nuclear ni sufuria la makande kwamba ikishambuliwa unaweza kulificha uvunguni na ukaweka propaganda kuwa haijashambuliwa? Nuclear facility ikishambuliwa lazima Uranium iliyorutubishwa iripuke mionzi isambae.

Kwahiyo hakuna propaganda yoyote shambulio limefeli
kwa hyo uranium iliyorutubishwa inalipuka kama moto na mionzi inasambaa kama moshi kila mtu anaona siyo?
 
Ulitaka ziendelee kubaki wakati shambulizi limefeli? Unafikiri Nuclear ni sufuria la makande kwamba ikishambuliwa unaweza kulificha uvunguni na ukaweka propaganda kuwa haijashambuliwa? Nuclear facility ikishambuliwa lazima Uranium iliyorutubishwa iripuke mionzi isambae.

Kwahiyo hakuna propaganda yoyote shambulio limefeli
Kwa hiyo shambulizi limefeli ukimaanisha mashambulizi yamedhibitiwa na mfumo wa kidhibiti makombora wa Iran au sijaelewa
 
We kobasi huna akili, ku run hiyo ndege kwa saa ni $135,000, unajua ni umbali gani itatembea na Kwa gharama gani kurudi?

Mission imefanikiwa ndo maana wanarudi, umemsikiq Netanyahu alivyoshukuru Marekani na Trum?

Peace through strength, strength first then peace, hata kama wanakuja mezani, wanakuja mikia ikiwa lile eneo.
Nuclear siyo sufuria la makande kwamba ukishambulia mahindi hayaruki hata mita 10 we Myahudi wa Bonyokwa, hakuna cha B-2 wala nini, Nuclear facility ikishambuliwa lazima radiation leakage itokee mionzi iathiri watu wote kwanzia wafanyakazi hadi watu wanaishi maeneo ya karibu, sasa Wananchi wa Qom hadi asubuhi bado wamevuta shuka hakuna hata vumbi alafu unajisifu umeshambulia Nuclear Facilities , tulia uone wayahudi wenzako wanavyokula vinu vya Khyber-4 hadi Netanyahu atoe milio ya kuomba msaada tena ndo utaelewa kuwa mpango umefeli
 
Ulitaka ziendelee kubaki wakati shambulizi limefeli? Unafikiri Nuclear ni sufuria la makande kwamba ikishambuliwa unaweza kulificha uvunguni na ukaweka propaganda kuwa haijashambuliwa? Nuclear facility ikishambuliwa lazima Uranium iliyorutubishwa iripuke mionzi isambae.

Kwahiyo hakuna propaganda yoyote shambulio limefeli
Usipoteze muda kujieleza mkuu utajishusha vyeo...

Ni kwamba trump ni popoma na kwa hili kajidhalilisha sanaa 😂😂😂 Alichofanya kamuuzia mwenzake msala
 
Ila USA muuaji sana, kama kapiga hivyo vinu mionzi yake hatari kabisa kwa wanachi wasio na hatia ?
 
Back
Top Bottom