Nuclear siyo sufuria la makande kwamba ukishambulia mahindi hayaruki hata mita 10 we Myahudi wa Bonyokwa, hakuna cha B-2 wala nini, Nuclear facility ikishambuliwa lazima radiation leakage itokee mionzi iathiri watu wote kwanzia wafanyakazi hadi watu wanaishi maeneo ya karibu, sasa Wananchi wa Qom hadi asubuhi bado wamevuta shuka hakuna hata vumbi alafu unajisifu umeshambulia Nuclear Facilities , tulia uone wayahudi wenzako wanavyokula vinu vya Khyber-4 hadi Netanyahu atoe milio ya kuomba msaada tena ndo utaelewa kuwa mpango umefeli