Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 9,397
- 12,415
mnajitahidi sana kufanya propaganda ila tayari mashambulizi yamefanyika na unaambiwa ndege zipo angani zinarudi amerikaUSA sijui wataficha wapi aibu hii Bom lililoaminiwa kuwa karata ya mwisho ya kuharibu Nuclear Facilities za Iran limefeli wameshambulia kituo cha Fordow lakini wananchi wanaoishi Mji wa Qom uliokaribu na hicho kituo cha Nuclear hawajashtuka hata usingizini.
Hakuna mripuko wowote wa Uranium ulioonekana wala vumbi la mionzi kusambaa popote, karata yao ya mwisho imefeli mpango wa Nuclear wa Iran haujaharibiwa na Israel anaendelea kupata hasara bila lengo kutimia
π€£USA sijui wataficha wapi aibu hii Bom lililoaminiwa kuwa karata ya mwisho ya kuharibu Nuclear Facilities za Iran limefeli wameshambulia kituo cha Fordow lakini wananchi wanaoishi Mji wa Qom uliokaribu na hicho kituo cha Nuclear hawajashtuka hata usingizini.
Hakuna mripuko wowote wa Uranium ulioonekana wala vumbi la mionzi kusambaa popote, karata yao ya mwisho imefeli mpango wa Nuclear wa Iran haujaharibiwa na Israel anaendelea kupata hasara bila lengo kutimia
π€£Mbona hatuoni moto kwenye nyuklia site hzo au ni nyuki wa Tabora
Vip mwananchi unaeish tandale unajua habari za wananchi wa iran?USA sijui wataficha wapi aibu hii Bom lililoaminiwa kuwa karata ya mwisho ya kuharibu Nuclear Facilities za Iran limefeli wameshambulia kituo cha Fordow lakini wananchi wanaoishi Mji wa Qom uliokaribu na hicho kituo cha Nuclear hawajashtuka hata usingizini.
Hakuna mripuko wowote wa Uranium ulioonekana wala vumbi la mionzi kusambaa popote, karata yao ya mwisho imefeli mpango wa Nuclear wa Iran haujaharibiwa na Israel anaendelea kupata hasara bila lengo kutimia
kwa christina mwagala?Mbona hatuoni moto kwenye nyuklia site hzo au ni nyuki wa Tabora
Ulitaka ziendelee kubaki wakati shambulizi limefeli? Unafikiri Nuclear ni sufuria la makande kwamba ikishambuliwa unaweza kulificha uvunguni na ukaweka propaganda kuwa haijashambuliwa? Nuclear facility ikishambuliwa lazima Uranium iliyorutubishwa iripuke mionzi isambae.mnajitahidi sana kufanya propaganda ila tayari mashambulizi yamefanyika na unaambiwa ndege zipo angani zinarudi amerika
Ni kama wewe mwananchi unaeishi kazuramimba unavyojua habari za B-2Vip mwananchi unaeish tandale unajua habari za wananchi wa iran?
Ila kobazi na ukenge ni mapachaUSA sijui wataficha wapi aibu hii Bom lililoaminiwa kuwa karata ya mwisho ya kuharibu Nuclear Facilities za Iran limefeli wameshambulia kituo cha Fordow lakini wananchi wanaoishi Mji wa Qom uliokaribu na hicho kituo cha Nuclear hawajashtuka hata usingizini.
Hakuna mripuko wowote wa Uranium ulioonekana wala vumbi la mionzi kusambaa popote, karata yao ya mwisho imefeli mpango wa Nuclear wa Iran haujaharibiwa na Israel anaendelea kupata hasara bila lengo kutimia
Ulitaka ziendelee kubaki wakati shambulizi limefeli? Unafikiri Nuclear ni sufuria la makande kwamba ikishambuliwa unaweza kulificha uvunguni na ukaweka propaganda kuwa haijashambuliwa? Nuclear facility ikishambuliwa lazima Uranium iliyorutubishwa iripuke mionzi isambae.
Kwahiyo hakuna propaganda yoyote shambulio limefeli
ππjapan tu mwaka 2011 mionzi ya nyuklia ili vuja baada ya earth quick, ili leta madhara makubwa sana zaidi ya watu 20k walifkufa ,lakini Iran kimyaaaUSA sijui wataficha wapi aibu hii Bom lililoaminiwa kuwa karata ya mwisho ya kuharibu Nuclear Facilities za Iran limefeli wameshambulia kituo cha Fordow lakini wananchi wanaoishi Mji wa Qom uliokaribu na hicho kituo cha Nuclear hawajashtuka hata usingizini.
Hakuna mripuko wowote wa Uranium ulioonekana wala vumbi la mionzi kusambaa popote, karata yao ya mwisho imefeli mpango wa Nuclear wa Iran haujaharibiwa na Israel anaendelea kupata hasara bila lengo kutimia
kwa hyo uranium iliyorutubishwa inalipuka kama moto na mionzi inasambaa kama moshi kila mtu anaona siyo?Ulitaka ziendelee kubaki wakati shambulizi limefeli? Unafikiri Nuclear ni sufuria la makande kwamba ikishambuliwa unaweza kulificha uvunguni na ukaweka propaganda kuwa haijashambuliwa? Nuclear facility ikishambuliwa lazima Uranium iliyorutubishwa iripuke mionzi isambae.
Kwahiyo hakuna propaganda yoyote shambulio limefeli
Kwa hiyo shambulizi limefeli ukimaanisha mashambulizi yamedhibitiwa na mfumo wa kidhibiti makombora wa Iran au sijaelewaUlitaka ziendelee kubaki wakati shambulizi limefeli? Unafikiri Nuclear ni sufuria la makande kwamba ikishambuliwa unaweza kulificha uvunguni na ukaweka propaganda kuwa haijashambuliwa? Nuclear facility ikishambuliwa lazima Uranium iliyorutubishwa iripuke mionzi isambae.
Kwahiyo hakuna propaganda yoyote shambulio limefeli
Nuclear siyo sufuria la makande kwamba ukishambulia mahindi hayaruki hata mita 10 we Myahudi wa Bonyokwa, hakuna cha B-2 wala nini, Nuclear facility ikishambuliwa lazima radiation leakage itokee mionzi iathiri watu wote kwanzia wafanyakazi hadi watu wanaishi maeneo ya karibu, sasa Wananchi wa Qom hadi asubuhi bado wamevuta shuka hakuna hata vumbi alafu unajisifu umeshambulia Nuclear Facilities , tulia uone wayahudi wenzako wanavyokula vinu vya Khyber-4 hadi Netanyahu atoe milio ya kuomba msaada tena ndo utaelewa kuwa mpango umefeliWe kobasi huna akili, ku run hiyo ndege kwa saa ni $135,000, unajua ni umbali gani itatembea na Kwa gharama gani kurudi?
Mission imefanikiwa ndo maana wanarudi, umemsikiq Netanyahu alivyoshukuru Marekani na Trum?
Peace through strength, strength first then peace, hata kama wanakuja mezani, wanakuja mikia ikiwa lile eneo.
Usipoteze muda kujieleza mkuu utajishusha vyeo...Ulitaka ziendelee kubaki wakati shambulizi limefeli? Unafikiri Nuclear ni sufuria la makande kwamba ikishambuliwa unaweza kulificha uvunguni na ukaweka propaganda kuwa haijashambuliwa? Nuclear facility ikishambuliwa lazima Uranium iliyorutubishwa iripuke mionzi isambae.
Kwahiyo hakuna propaganda yoyote shambulio limefeli