Nuclear siyo sufuria la makande kwamba ukishambulia mahindi hayaruki hata hita 10 we Myahudi wa Bonyokwa, hakuna cha B-2 wala nini, Nuclear facility ikishambuliwa lazima radiation leakage itokee mionzi iathiri watu wote kwanzia wafanyakazi hadi watu wanaishi maeneo ya karibu, sasa Wananchi wa Qom hadi asubuhi bado wamevuta shuka hakuna hata vumbi alafu unajisifu umeshambulia Nuclear Facilities , tulia uone wayahudi wenzako wanavyokula vinu vya Khyber-4 hadi Netanyahu atoe milio ya kuomba msaada tena ndo utaelewa kuwa mpango umefeli
Ndo hapo sasa Russia wenyewe mionzi iliwahi kuvuja bila hata kushambuliwa ikaleta shida sasa ndo iwe ya Iran iliyopigwa na B-2 inayosifiwa inaweza kuzama underground na kuleta madhara tusiskie kelele zozote hata vumbi kuonekana?ππjapan tu mwaka 2011 mionzi ya nyuklia ili vuja baada ya earth quick, ili leta madhara makubwa sana zaidi ya watu 20k walifkufa ,lakini Iran kimyaaa
Kashamuuzia msala NetanyahuUsipoteze muda kujieleza mkuu utajishusha vyeo...
Ni kwamba trump ni popoma na kwa hili kajidhalilisha sanaa πππ Alichofanya kamuuzia mwenzake msala
Mwisho wa propaganda za mashog,a umefikia mwisho.Ndo hapo sasa Russia wenyewe mionzi iliwahi kuvuja bila hata kushambuliwa ikaleta shida sasa ndo iwe ya Iran iliyopigwa na B-2 inayosifiwa inaweza kuzama underground na kuleta madhara tusiskie kelele zozote hata vumbi kuonekana?
Hakuna madhara makubwa yaliyotokea kama malengo ya Marekani yalivyokuwa kuharibu kabisa vinu vya nyuklia vya Iran.Kwa hiyo shambulizi limefeli ukimaanisha mashambulizi yamedhibitiwa na mfumo wa kidhibiti makombora wa Iran au sijaelewa
Aah kwamba issue ni madhara makubwa.Hakuna madhara makubwa yaliyotokea kama malengo ya Marekani yalivyokuwa kuharibu kabisa vinu vya nyuklia vya Iran.
Hivi mkuu ulipue vinu vya nyuklia halafu usione milipuko mikubwa kuwahi kushuhudiwa?
Mlipuko wa nyuklia haujifichi mkuu lazima athari zake zingeonekana wazi ukizingatia milipuka midogo iliyotokea Japan na athari iliyoachwa ni maelefu ya watu walikufa.
Tuache kushabikia vita, hao waajemi wakishapandisha mori wanaweza kuanza kupiga mabomu kwenye balozi za marekani na tukapoteza watanzania wenzetu. Maana vita haina macho, wakishindwa kwenda kupiga washington marekani wanaweza kuanza na balozi na kambi za marekani kisha tunaingia kwenye WW3.Mbona hatuoni moto kwenye nyuklia site hzo au ni nyuki wa Tabora
USAF wameachia baadhi ya video pamoja na TNT,Al jaazera unaweza kwenda kutazamaAah kwamba issue ni madhara makubwa.
Lakini madhara ni madogo si ndio?
Mwenye pictures alete
We umezaliwa kwenye vita mkuu?. Usimchokoze mtu usiyeweza kumzuia pale atakapoamua kukujibuKama hujazaliwa kwenye vita utaendelea kuwa shabiki tu.
Propaganda kubwa kuliko zote ambayo imefutwa na Iran ni yakuwa Israel ni taifa teule maana wamechapika kama wamesimamamnajitahidi sana kufanya propaganda ila tayari mashambulizi yamefanyika na unaambiwa ndege zipo angani zinarudi amerika
Mkuu, embu subiri majibu ya Iran kwa USA na wewe uringe, Mambo ya kusema hakuna madhara si hoja maana Iran kapigwa na aliyempiga hajajifcha kasema wazi nimempiga.Ndo hapo sasa Russia wenyewe mionzi iliwahi kuvuja bila hata kushambuliwa ikaleta shida sasa ndo iwe ya Iran iliyopigwa na B-2 inayosifiwa inaweza kuzama underground na kuleta madhara tusiskie kelele zozote hata vumbi kuonekana?
Alikua kwenye kinu cha uranium anavyoonekana kujiamini πππVip mwananchi unaeish tandale unajua habari za wananchi wa iran?
Hiki kiumbe nadhani ndio kwa mara ya kwanza kinatumika live.Ududu,unyama sana, bingwa la kazi chafu,kiboko ya madevu devu, mtokomeza kobazi
View attachment 3378582
Vita haina mwenyewe tuendelee kuwa watazamaji tu ila isitufikie.We umezaliwa kwenye vita mkuu?. Usimchokoze mtu usiyeweza kumzuia pale atakapoamua kukujibu
Shirika la IEA linasema hakuna miyonzi yoyote sio baharini wala ardhini, wakati uo Iran inadai kiwanda kiko salama ijapokuwa safu ya juu imeharibika na ndiyo iliyopigwa.We kobasi huna akili, ku run hiyo ndege kwa saa ni $135,000, unajua ni umbali gani itatembea na Kwa gharama gani kurudi?
Mission imefanikiwa ndo maana wanarudi, umemsikiq Netanyahu alivyoshukuru Marekani na Trum?
Peace through strength, strength first then peace, hata kama wanakuja mezani, wanakuja mikia ikiwa lile eneo.
Haikupata kunenwa mchuma janga hula na wa kwao? Wacha wale pamoja. Kwani hizo nyuklia zilikuwa zinatengenezwa kwa ajili ya nani?Ila USA muuaji sana, kama kapiga hivyo vinu mionzi yake hatari kabisa kwa wanachi wasio na hatia ?
Unavyosimulia kana kwamba unaishi nyumba ya jirani na Fordow kumbe upo na tekno yako kijijini kwenu BupandagilaUSA sijui wataficha wapi aibu hii Bom lililoaminiwa kuwa karata ya mwisho ya kuharibu Nuclear Facilities za Iran limefeli wameshambulia kituo cha Fordow lakini wananchi wanaoishi Mji wa Qom uliokaribu na hicho kituo cha Nuclear hawajashtuka hata usingizini.
Hakuna mripuko wowote wa Uranium ulioonekana wala vumbi la mionzi kusambaa popote, karata yao ya mwisho imefeli mpango wa Nuclear wa Iran haujaharibiwa na Israel anaendelea kupata hasara bila lengo kutimia