Mama ako huku kasema muanze kutengeneza umeme wa Nuclear, unafikiri ukisikia Nuclear tu basi unajua bomu?Haikupata kunenwa mchuma janga hula na wa kwao? Wacha wale pamoja. Kwani hizo nyuklia zilikuwa zinatengenezwa kwa ajili ya nani?
Biashara nia asubuhi usisaha hiloMapema mno😎
Umeme wa kulifuta taifa lingine katika uso wa dunia au sio?Mama ako huku kasema muanze kutengeneza umeme wa Nuclear, unafikiri ukisikia Nuclear tu basi unajua bomu?
Kuna taasisi yoyote imesema Iran inamiliki makombora ua Nuke? Na lengo lake ni kuifufa Israel? Israel ana Nuke jaribu kufatilia alizipataje? Lengo lake lilikuwa ni nini? Kwanini Kennedy aliporaka kuchunguza aliuawa? Kwanini nchi za Magharibi hawataki ata kujua siraha za nuke zikoje wala kumuuliza wanaogopa?Umeme wa kulifuta taifa lingine katika uso wa dunia au sio?
Kwani Nuclear anayo Irana peke yake ? Pakistan wanazo, India wanazo, Russia wanazo, U.K wanazo, USA anazo N.K anazoHaikupata kunenwa mchuma janga hula na wa kwao? Wacha wale pamoja. Kwani hizo nyuklia zilikuwa zinatengenezwa kwa ajili ya nani?
sasa sikilizia revange yake, ndio utashangaa israeli ni taifa ganiPropaganda kubwa kuliko zote ambayo imefutwa na Iran ni yakuwa Israel ni taifa teule maana wamechapika kama wamesimama
Shekh, upo Qom au Rufiji?USA sijui wataficha wapi aibu hii Bom lililoaminiwa kuwa karata ya mwisho ya kuharibu Nuclear Facilities za Iran limefeli wameshambulia kituo cha Fordow lakini wananchi wanaoishi Mji wa Qom uliokaribu na hicho kituo cha Nuclear hawajashtuka hata usingizini.
Hakuna mripuko wowote wa Uranium ulioonekana wala vumbi la mionzi kusambaa popote, karata yao ya mwisho imefeli mpango wa Nuclear wa Iran haujaharibiwa na Israel anaendelea kupata hasara bila lengo kutimia
Lakini sio kwa kipigo😎Biashara nia asubuhi usisaha hilo
Iran ashahamisha vitu vyake zamani sanaNuclear siyo sufuria la makande kwamba ukishambulia mahindi hayaruki hata mita 10 we Myahudi wa Bonyokwa, hakuna cha B-2 wala nini, Nuclear facility ikishambuliwa lazima radiation leakage itokee mionzi iathiri watu wote kwanzia wafanyakazi hadi watu wanaishi maeneo ya karibu, sasa Wananchi wa Qom hadi asubuhi bado wamevuta shuka hakuna hata vumbi alafu unajisifu umeshambulia Nuclear Facilities , tulia uone wayahudi wenzako wanavyokula vinu vya Khyber-4 hadi Netanyahu atoe milio ya kuomba msaada tena ndo utaelewa kuwa mpango umefeli
🤣poleUSA sijui wataficha wapi aibu hii Bom lililoaminiwa kuwa karata ya mwisho ya kuharibu Nuclear Facilities za Iran limefeli wameshambulia kituo cha Fordow lakini wananchi wanaoishi Mji wa Qom uliokaribu na hicho kituo cha Nuclear hawajashtuka hata usingizini.
Hakuna mripuko wowote wa Uranium ulioonekana wala vumbi la mionzi kusambaa popote, karata yao ya mwisho imefeli mpango wa Nuclear wa Iran haujaharibiwa na Israel anaendelea kupata hasara bila lengo kutimia
Kahamishia wapi pasipojulikana Sheikh?Iran ashahamisha vitu vyake zamani sana