Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
Asante kwa taarifaTrump anaomba mazungumzo wala sio Iran, sababu ya Trump kuomba mazungumzo silaha zao zimesambaratishwa na Iran. Pia kuna habari wanaficha kuongelea walio kufa na walio umia kuna nchi moja uarabuni wanajeshi wa USA wamejazana hospital na ukichukulia logical vipi Iran apige base zote wadai wamekufa watatu tu na watano wameumia hahaha. Iran number zake ni kweli walio kufa wamarekani ni 560 kapiga Embassy za USA pia na hotel walizo kuwa wakiishi hao ma spy wao.
Kama mimi ningekuwa Trump, ningefuta kobazi wote mpaka Africa ili dunia itulie. Chanzo cha maasi mengi ni kobaziAsante kwa taarifa
Anataka.mwingine mwache tuMaliza msiba kwanza
Wacha wee,!!Trump anaomba mazungumzo wala sio Iran, sababu ya Trump kuomba mazungumzo silaha zao zimesambaratishwa na Iran. Pia kuna habari wanaficha kuongelea walio kufa na walio umia kuna nchi moja uarabuni wanajeshi wa USA wamejazana hospital na ukichukulia logical vipi Iran apige base zote wadai wamekufa watatu tu na watano wameumia hahaha. Iran number zake ni kweli walio kufa wamarekani ni 560 kapiga Embassy za USA pia na hotel walizo kuwa wakiishi hao ma spy wao.
Kufa ni faidaAnataka.mwingine mwache tu
Kuficha 560 deaths kwa nchi kama Marekani ni vigumu sana. Kama ni kweli, hiyo ni kashifa inayotosha kumweka kiongozi kwenye wakati mgumu sana politically!Trump anaomba mazungumzo wala sio Iran, sababu ya Trump kuomba mazungumzo silaha zao zimesambaratishwa na Iran. Pia kuna habari wanaficha kuongelea walio kufa na walio umia kuna nchi moja uarabuni wanajeshi wa USA wamejazana hospital na ukichukulia logical vipi Iran apige base zote wadai wamekufa watatu tu na watano wameumia hahaha. Iran number zake ni kweli walio kufa wamarekani ni 560 kapiga Embassy za USA pia na hotel walizo kuwa wakiishi hao ma spy wao.
Tulizana usifanye haraka karibu mtamini Iran huwa hasemi uwongoKuficha 560 deaths kwa nchi kama Marekani ni vigumu sana. Kama ni kweli, hiyo ni kashifa inayotosha kumweka kiongozi kwenye wakati mgumu sana politically!
Wamarekani 113 kuuawa ndiyo habari inayosambaaKuficha 560 deaths kwa nchi kama Marekani ni vigumu sana. Kama ni kweli, hiyo ni kashifa inayotosha kumweka kiongozi kwenye wakati mgumu sana politically!
Ukiwa hapo MBURAHATI u nauzaa zako alkasusuTrump anaomba mazungumzo wala sio Iran, sababu ya Trump kuomba mazungumzo silaha zao zimesambaratishwa na Iran. Pia kuna habari wanaficha kuongelea walio kufa na walio umia kuna nchi moja uarabuni wanajeshi wa USA wamejazana hospital na ukichukulia logical vipi Iran apige base zote wadai wamekufa watatu tu na watano wameumia hahaha. Iran number zake ni kweli walio kufa wamarekani ni 560 kapiga Embassy za USA pia na hotel walizo kuwa wakiishi hao ma spy wao.
Wacha wee,!!
Ukiwa hapo MBURAHATI u nauzaa zako alkasusu
Mwanafunzi bora wa uongo. Taqiyya Primary SchoolTrump anaomba mazungumzo wala sio Iran, sababu ya Trump kuomba mazungumzo silaha zao zimesambaratishwa na Iran. Pia kuna habari wanaficha kuongelea walio kufa na walio umia kuna nchi moja uarabuni wanajeshi wa USA wamejazana hospital na ukichukulia logical vipi Iran apige base zote wadai wamekufa watatu tu na watano wameumia hahaha. Iran number zake ni kweli walio kufa wamarekani ni 560 kapiga Embassy za USA pia na hotel walizo kuwa wakiishi hao ma spy wao.
We una amini?Hii habari ya Trump kuwaomba Italy wawaambie Iran wakae mezani wazungumze ni ya jana,na Iran walikataa
Leo kupitia the Atlantic Trump anadai kiongozi wa Iran anataka mazungumzo, Iran haina kiongozi sasa hivi
Wachapane mpaka mwisho tuone mbabe ni nani
Source? trust me bro.Trump anaomba mazungumzo wala sio Iran, sababu ya Trump kuomba mazungumzo silaha zao zimesambaratishwa na Iran. Pia kuna habari wanaficha kuongelea walio kufa na walio umia kuna nchi moja uarabuni wanajeshi wa USA wamejazana hospital na ukichukulia logical vipi Iran apige base zote wadai wamekufa watatu tu na watano wameumia hahaha. Iran number zake ni kweli walio kufa wamarekani ni 560 kapiga Embassy za USA pia na hotel walizo kuwa wakiishi hao ma spy wao.