Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,620
- 15,134
Kuamini au kutokuamini kwangu hakutabadilisha kitu. Ukweli utabaki kama ulivyo na hakuna ujanja wa kuuficha permanently. Time will tell.So una amini kwamba Kwa makombora yote yale yaliyotua kwenye base za USA wamekufa wanajeshi watatu tu !? π
ππHii habari ya Trump kuwaomba Italy wawaambie Iran wakae mezani wazungumze ni ya jana,na Iran walikataa
Leo kupitia the Atlantic Trump anadai kiongozi wa Iran anataka mazungumzo, Iran haina kiongozi sasa hivi
Mbona Israeli hamruhusu media kuwa live kama Teheran? Mlishazoea kupiga Lebanon,Syria, Afghanistan,gaza sasa mnaogopa kuaibikakumweka
Acha wanyooshane kidogo...secretarybird
huwa napenda sana kauli yako ya kusema "ACHA WANYOOSHANE
na mimi nasema acha wanyooshane
Wataendelea kutojua yuko wapi maana yeye si Ayatollah Ali Khamenei
View: https://youtube.com/shorts/FvBKjazz1EM?si=dNUHHpnxdgoBnOlJ
Nasikia Netanyahu wame mla kichwa office yake imepigwa, mpaa mda hu vyombo vya habari vya Israel havijui yuko hai au kafa.
Karibu ataliwa kichwaWataendelea kutojua yuko wapi maana yeye si Ayatollah Ali Khamenei
Mbinu kubwa inayotumika na Waarabu/Waislamu ni TAQIYYAH yaani uongo kwa ajili ya mnyazimungu wao.Trump anaomba mazungumzo wala sio Iran, sababu ya Trump kuomba mazungumzo silaha zao zimesambaratishwa na Iran. Pia kuna habari wanaficha kuongelea walio kufa na walio umia kuna nchi moja uarabuni wanajeshi wa USA wamejazana hospital na ukichukulia logical vipi Iran apige base zote wadai wamekufa watatu tu na watano wameumia hahaha. Iran number zake ni kweli walio kufa wamarekani ni 560 kapiga Embassy za USA pia na hotel walizo kuwa wakiishi hao ma spy wao.
Kwani wewe unayependa kuingia kwenye jukwaa hili linakusaidia nini?Ila huu ushabiki Sijui huwa unawasaidia nini aisee...
nimelejea kuzuiya propaganda za ovyo.Baada ya Magaidi wa Hamas,Hezbollah!Houth na Ayatollah Ali Khamenei kuangamizwa ndipo ukaona bora ujitokeze kumuokoa Iran kutoka kwenye mikono ya Netanyahu?
Karibu sana tena, Wapiga Propaganda wenzako baada ya kuona Magaidi wa Hamas,Hezbollah na Houth wameshindwa waliona aibu tukawapoteza labda Iran akishinda watarudi lakini tena Ayatollah kauliwa sasa sidhani kama watalejea.nimelejea kuzuiya propaganda za ovyo.
Muosha vyoo unavituko sana bado tu unaamini US ni super power hahahaha yule Israel ni bure kabisa kwa Iran na ndio sababu walilivuta jinga lolo Trump kwenye vitaKaribu sana tena, Wapiga Propaganda wenzako baada ya kuona Magaidi wa Hamas,Hezbollah na Houth wameshindwa waliona aibu tukawapoteza labda Iran akishinda watarudi lakini tena Ayatollah kauliwa sasa sidhani kama watalejea.
Kabuki mmoja tu Adiosamigo na wajinga wenzake warned tu!!
Naona umeamua kumuingilia smart kwa kumtag mahondaw
Namkera tu π.Naona umeamua kumuingilia smart kwa kumtag mahondaw
Mimi huwa naongea ukweli si kama wewe haya hata hawa USA si wanasema nilio yaongea. Tatizo lako msalaba unakuweka njia pandaMbinu kubwa inayotumika na Waarabu/Waislamu ni TAQIYYAH yaani uongo kwa ajili ya mnyazimungu wao.
Hawa watu wanaruhusiwa na dini yao kusema Uongo au kutukana ikiwezekana hata kuua kwa ajili ya mnyqzimungu wao ndiyo maana utaona hawasemi kweli daima.
Juzi tu waziri wa Mambo ya nchi za nje wa Iran kaulizwa kuhusu Ayatollah na alikanusha na kusema viongozi wote wa Iran wako salama na wanaongoza vita vizuri kumbe kafa muda mrefu na alikuwa anajua.
Taqiyya kwenye vitabu vyao ipo na wanaruhusiwa na hata hao anasema yeye ni askari 560 wa Marekani hiyo ni TAQIYYAH
Ikumbukwe kuwa Marekani ilihamisha askari wake karibu wote kwenye kambi hizo sasa jiulize hao 560 wametoka wapi? Elewa tu hiyo ni TAQIYYAH
Ndiyo maana kwa waislamu hata kama amefunga yuko tayari akudanganye au aseme uongo bila kuogopa!!