Kipindi Trump akiwa Madarakani aliona Marekani haina sababu ya jeshi kuendelea kubaki Afghanistan, kama ni kushinda vita walishashinda kwa kuichomoa serikali ya Taliban, hakukuwa na sababu ya kuendelea kubaki.
Trump alimchimba mkwara kiongozi wa Taliban wakiwa kwenye kikao alimpa karatasi inaonyesha sehemu familia yake inaishi, Akaondoka kwenye kikaoni bila kuongea cha ziada, kwa miezi 18 mfululizo mpaka anapoachia ngazi, Taliban hawakuthubutu kuua wala kumgusa mwanajeshi wa Marekani"
Taratibu zilianza za kuliondoa jeshi kwa heshima (Leaving with honor) kuwaachia wa Afghanistan nchi yao wajiongoze kwa serikali iliyokuwepo, Walibaki wanajesi wamarekani wachache wanaokamilisha mambo ya kurudisha silaha Marekani, kuziharibu, n.k.
Biden kaingia Madarakani mipango yote ya kuondoka kwa heshia ikavurugika, Taliban ilimuona Biden ni kama mdori walianza kuua wanajeshi wamarekani na Afghanistan, kupora silaha za Marekani zenye thamani ya dola bilioni 80, Wote tuliweza kuona jeshi la Marekani lilivyofurushwa kwa aibu.
Kulikuwa na makubaliano ya Taliban waweze kuzungumza na Serikali ya Afghanistan kuhusu namna bora ya kugawana power kwenye uongozi wa Afghanistan lakini Biden alipoingia hawakuona umuhimu, walipindua serikali yote.
Trump ni chuma kinachohitajika kurudi white house sio hawa kina Biden na Kamala.