Trump: Sitomrudisha Prince Harry kwao kwa sababu matatizo anayokumbana nayo kutoka kwa mke wake ni makubwa na adhabu tosha

Yaani huyu jamaa mbaguzi sana, unaona namna anavyopambana kuwalazimisha masetler wa kizungu wahamie Marekani ila wao wamemugomea.
mjenge nchi zenu wanges nyiny kaz kuvaa za kijani kisha mnaenda kula kodi zenu huko states
 
"Problems with my wife, don't discuss them"

The Notorious B.I.G - "Get Money"
 
Jamaa aliambiwa sana ila alikuwa mbishi, huku watu weusi wakishadidia ubaguzi.
 
Unaambiwa kile kidemu ni kisiriri ile mbaya, tangu kuolewa kimeingia jikoni kumpikia mjuba mara mbili tu.

Ukioa mwanamke mwenye kilo 50 kushuka chini, jiandae kwa mengi

Jamaa aling'ngania slay queen, bibi yake alimisihi sana ila alikuwa mkaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…