Jchris14
JF-Expert Member
- Aug 15, 2019
- 801
- 2,057
🙌🙌Mzaliwa wa royal family, wanapata anachotaka wakati anaotaka wanawake ni kisanga....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙌🙌Mzaliwa wa royal family, wanapata anachotaka wakati anaotaka wanawake ni kisanga....
Yawezekana huyo mwanamke hana shida, ila shida ikawa ni kwa watu wengine within that loyal family.na anaweza akaachwa kabisa
Ndio yeyeHivi huyu ni yule alioaga black hata akalalamika familia imembagua?
mjenge nchi zenu wanges nyiny kaz kuvaa za kijani kisha mnaenda kula kodi zenu huko statesYaani huyu jamaa mbaguzi sana, unaona namna anavyopambana kuwalazimisha masetler wa kizungu wahamie Marekani ila wao wamemugomea.
🤣🤣Yaani kuna vichwa hii weekend vinakula kiapo "till death do us part"
Unaambiwa kile kidemu ni kisiriri ile mbaya, tangu kuolewa kimeingia jikoni kumpikia mjuba mara mbili tu.
Ukioa mwanamke mwenye kilo 50 kushuka chini, jiandae kwa mengi