Yaliporomoka kwa ajili ya tarrifs zilizowekwa na China?Kuna watu humu walikuwa wanaichukulia poa nguvu ya kiuchumi ya china hapa duniani wakidai Marekani ndo kila kitu.
Lakini jana baada ya kujibu mapigo kwa kuweka ushuru dhidi ya Marekani masoko ya hisa yaliporomoka kote ulimwenguni Marekani jana na leo tu masoko ya hisa yamepata hasara ya zaidi ya $6 trion na yanazidi kushuka hali yakuwa masoko ya hisa ndani ya china yako kawaida.
Ww unadhani tanaporomoka kwa ajili ipi?Yaliporomoka kwa ajili ya tarrifs zilizowekwa na China?
Wenzako huwa wanapiga mahesabu ya mbali sio kama viongozi wako wa shitholes countryKuna watu humu walikuwa wanaichukulia poa nguvu ya kiuchumi ya china hapa duniani wakidai Marekani ndo kila kitu.
Lakini jana baada ya kujibu mapigo kwa kuweka ushuru dhidi ya Marekani masoko ya hisa yaliporomoka kote ulimwenguni Marekani jana na leo tu masoko ya hisa yamepata hasara ya zaidi ya $6 trion na yanazidi kushuka hali yakuwa masoko ya hisa ndani ya china yako kawaida.
Wachina kwa hili wanaficha taarifa sahihiKuna watu humu walikuwa wanaichukulia poa nguvu ya kiuchumi ya china hapa duniani wakidai Marekani ndo kila kitu.
Lakini jana baada ya kujibu mapigo kwa kuweka ushuru dhidi ya Marekani masoko ya hisa yaliporomoka kote ulimwenguni Marekani jana na leo tu masoko ya hisa yamepata hasara ya zaidi ya $6 trion na yanazidi kushuka hali yakuwa masoko ya hisa ndani ya china yako kawaida.
Hii kauli mnairudia mara kwa mara nawaona kama maroboti.... Siku China ikichukua hatua anazochukua Trump dhidi ya mataifa yote, wewe na mimi tutalia na kusaga meno.Ila mwisho wa siku China lazima atapoteza kwani soko kubwa na la uhakika la Marekani kamwe hatabaki nalo kama ilivyokua na hatapata soko mbadala.
Mara ya mwisho kumsikia Xi Jinping akipiga domo kuhusu marekani lini ? Tumuulize ndugu yake na Xi Jinping
Hahaha,,,,kumbe??? Duh. Ni vema kama hujui uchumi tulia. Masoko ya hisia yanaashiria ukubwa wa Chinaππππππwabongo KIBOKOπππππKuna watu humu walikuwa wanaichukulia poa nguvu ya kiuchumi ya china hapa duniani wakidai Marekani ndo kila kitu.
Lakini jana baada ya kujibu mapigo kwa kuweka ushuru dhidi ya Marekani masoko ya hisa yaliporomoka kote ulimwenguni Marekani jana na leo tu masoko ya hisa yamepata hasara ya zaidi ya $6 trion na yanazidi kushuka hali yakuwa masoko ya hisa ndani ya china yako kawaida.
Watakao umia ni raia wa Marekani maana watalazimika kununua bidhaa kwa bei kubwa.Ila mwisho wa siku China lazima atapoteza kwani soko kubwa na la uhakika la Marekani kamwe hatabaki nalo kama ilivyokua na hatapata soko mbadala.
Haya ww unaye jua tuambie.Hahaha,,,,kumbe??? Duh. Ni vema kama hujui uchumi tulia. Masoko ya hisia yanaashiria ukubwa wa Chinaππππππwabongo KIBOKOπππππ
China ni kiwanda cha dunia huku kwetu Africa kila kitu made in china soko la dunia kwa bidhaa mchina anakimbiza hilo liko wazi kiuhalisia sioni kama mchina anacha kupoteza maana bidhaa nyingi za marekani huku hatuzitumii labda twitter na facebook na watsapp ndioninatumika kila siku lakini mchina yeboyebo za kuvaa mguuni ,kiatu ,nguo,peni ,bodaboda etc etcIla mwisho wa siku China lazima atapoteza kwani soko kubwa na la uhakika la Marekani kamwe hatabaki nalo kama ilivyokua na hatapata soko mbadala.
Hiyo jeuri hana na ni yeye atakayeumia zaidi ya atakaokuwa anawalenga.Hii kauli mnairudia mara kwa mara nawaona kama maroboti.... Siku China ikichukua hatua anazochukua Trump dhidi ya mataifa yote, wewe na mimi tutalia na kusaga meno.
Wanarejea kuwekeza nchini mwao na muda sio mrefu nchi kama China inayotegemea zaidi soko la Marekani uchumi utaporomoka vibaya.Watakao umia ni raia wa Marekani maana watalazimika kununua bidhaa kwa bei kubwa.
Bado issue ya rare minerals. Tusubiri tuone timbwiri hilo.Kuna watu humu walikuwa wanaichukulia poa nguvu ya kiuchumi ya china hapa duniani wakidai Marekani ndo kila kitu.
Lakini jana baada ya kujibu mapigo kwa kuweka ushuru dhidi ya Marekani masoko ya hisa yaliporomoka kote ulimwenguni Marekani jana na leo tu masoko ya hisa yamepata hasara ya zaidi ya $6 trion na yanazidi kushuka hali yakuwa masoko ya hisa ndani ya china yako kawaida.
SawaHiyo jeuri hana na ni yeye atakayeumia zaidi ya atakaokuwa anawalenga.