Trump tested positive for Coronavirus

Wewe kweli una matatizo kichwani,Covid-19 haichagui.
Wewe kichwa chako kingekuwa sawa ungeelewa kilichoandikwa hapo.

Corona haichagui. sawa, ndio maana kuna njia za kujikinga nayo, kama kuvaa barakoa na 'social distancing' yote anayoyadharau aliyepatwa na corona sasa, na huenda bado hata wa kujifukizia bado nafasi ipo na wao waonyeshwe mfano.
 
Kwani whats so special kwa Trump mpaka iwe ajabu akipata corona. Nani kakwambia corona ni adhabu, mfano au somo. Nyinyi ndio uwa mnashangilia mtu akipata HIV kwamba alikuwa mzuri ila kaupata.
Ni ajabu kwa mtu anayeghairi kutumia kinga, kama kuvaa barakoa kwa dharau. Inafaa imsugue vya kutosha akili zimuingie kichwani.
Na bado wewe na huyu rafiki yako mwenye akili sawa na wewe.
 


Si adondoke tu.....anachosha
 
Ni ajabu kwa mtu anayeghairi kutumia kinga, kama kuvaa barakoa kwa dharau. Inafaa imsugue vya kutosha akili zimuingie kichwani.
Na bado wewe na huyu rafiki yako mwenye akili sawa na wewe.
Mimi corona nilishapata na nikapona. Kama unayo njoo uniambukize tena
 
Yule mpangaji wa"Nyumba nyeupe" au White House alikuwa na tabia ya kubeza na kudhihaki wale wanaovaa barakoa. Sasa hivi anakinywea kikombe. Je hii ni salamu tosha kwa huyu mwingine wa huku mwenye tabia kama hiyo?
 
Ingekuwa ni Rais wa nchi fulani ya asali na maziwa ya afrika mashariki Rais wake amepata Corona basi ingefichwa sana!Dona kantri is shithole country!
Jiwe mbishi hata malaika Israel anamshangaa
 
Huyu ata asipopatwa na Covid19 atakonda na stress za "ng'ongo agwa nyakhati" tundu Lissu
 
Tumejuaje kama haipo wakati hatupimi, halafu hatuamini kipimo, halafu hatuna uwezo wa kutengeneza kipimo chetu?
Unapima nini wakati hauumwi.Mgonjwa ndiye anaye hitaji kipimo,wewe ukijisikia una dalili nenda kapime.
 
Corona Tanzania Haipo
Watajijua Wenyewe Huko
Ugonjwa usiochagua tajiri wala maskini, msomi wala mjinga, bwana wala mtwana.

Walisema Magufuli anajidanhanya lakini leo wamejidanganya wao.

Nimefurahia sana taarifa hii maana mwana kulitafuta mwana kulipata. Akome kujiona mjuaji.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Habari za hivi punde ni kuwa Rais wa Marekani Mh .Donald Trump amegundulika kuwa na ugonjwa wa Covid 19.
Hadi sasa ana dalili nyepesi za ugonjwa.
 
hv corona inapaa ? ulinzi wote huo corona inapita wapi ?

Itakuwa aliambukizwa na mfanya kazi wake wa Ikulu ambaye unahusika kumu-serve chakula - nasikia Trump alilalamika sana baada ya kujulishwa kwamba muhudumu wake amegundulika ana mahambukizi ya virus vya Corona na alikuwa havai barakoa wakati alipokuwa ana serve chakula kwa Trump, jamaa huyo atakuwa alihambukiza wafanyakazi wengi pale Ikulu.
 
Wacha woga wewe.Nani kakwambia barakoa ni kinga ya corona. Corona ipo kama maradhi mengine.Na tiba zipo pia.Na kila kitu kipo mikononi mwa Allah.

 
akufe tuu
β€œNo one has recovered like me, the doctors were very impressed. They say my body is strong, stronger and healthier than anybody else. Believe me, my body knows how to shut out the virus and its from China! I guess my body knows better kung fu. Thats why the corona couldnt stay long. Fastest recovery in history. Obama wouldnt have survived it!” - Donald Trump

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hakika Trump ni crazy [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…