Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,333
- 50,241
Waandamanaji wangapi wamepigwa risasi?.
Waandamanaji wangapi wamepigwa risasi?.
Wameichoma trump tower?Na hatopigwa mtu risasi za kichwa!
Wamechoma Metro?Huko hamna KMKM wa kuua watu.
Who are you???
Hata wangeichoma, adhabu yake si kifo!Wameichoma trump tower?
Ipo video ya mkuu mmoja wa mamlaka za usalama huko marekani alisema mtu akiandamana akafanya vandalism atakula chumaHata wangeichoma, adhabu yake si kifo!
Hata wangeichoma, NYPD isingeingia mitaani na kuanza kuua watu ambao hawakushiriki kuichoma.
Hata wangeichoma, NYPD isingeingia nyumba kwa nyumba na kuanza kupiga risasi watoto.
Adhabu ya kuchoma moto mali za mtu si kifo.
Usichokielewa ni kipi hapo?
Are you dumb?
Post na waandamanaji wa October 29
Iweke hapa tuione….Ipo video ya mkuu mmoja wa mamlaka za usalama huko marekani alisema mtu akiandamana akafanya vandalism atakula chuma
Mhalifu ni huyo uliyemuweka kwenye profile yako, fk uwewe ushawahi kupost video ya wahalifu
OK, yupo aliyekula chuma mpaka sasa?Ipo video ya mkuu mmoja wa mamlaka za usalama huko marekani alisema mtu akiandamana akafanya vandalism atakula chuma
Hiyo labda kwenye nyani ngabu republicIweke hapa tuione….
Bado nakwambia adhabu ya vandalism si kifo cha papo kwa hapo.
Hiyo ni picha tu. Weka video tuone tujue na context.Hiyo labda kwenye nyani ngabu republic
Not in my dream in realityIn your dreams