ngumu sana, wewe fikiria kila siku kuhamasisha watu waandamane alafu hawatoki
Kwenye msafara wa Mamba hata kenge wamo ,hata kwenye Project yenu ya Mchange na Abdul kuna wachache wenye akili na wengine vilaza kama nyinyi....Na ndiyo maana hamjui Papa benedict wa 16 alishafariki ,Wakorontio 10 mpaka 13 ,mwamba siyo wimbo wa RC ,petition na petention.Na mkaawaambia kabisa wakaibe mali za watu 𤣠, alafu unataka kuonekana una akili
sasa mbna hamkukemea uizi na kuchoma rasilimali?Kwenye msafara wa Mamba hata kenge wamo ,hata kwenye Project yenu ya Mchange na Abdul kuna wachache wenye akili na wengine vilaza kama nyinyi....Na ndiyo maana hamjui Papa benedict wa 16 alishafariki ,Wakorontio 10 mpaka 13 ,mwamba siyo wimbo wa RC ,petition na petention.