Trump Tower yavamiwa na waandamanaji kupinga uvamizi wa Marekani nchini Venezuela

Wameichoma trump tower?
Hata wangeichoma, adhabu yake si kifo!

Hata wangeichoma, NYPD isingeingia mitaani na kuanza kuua watu ambao hawakushiriki kuichoma.

Hata wangeichoma, NYPD isingeingia nyumba kwa nyumba na kuanza kupiga risasi watoto.

Adhabu ya kuchoma moto mali za mtu si kifo.

Usichokielewa ni kipi hapo?

Are you dumb?
 
Ipo video ya mkuu mmoja wa mamlaka za usalama huko marekani alisema mtu akiandamana akafanya vandalism atakula chuma
 
Reactions: Tui
Ipo video ya mkuu mmoja wa mamlaka za usalama huko marekani alisema mtu akiandamana akafanya vandalism atakula chuma
Iweke hapa tuione….

Bado nakwambia adhabu ya vandalism si kifo cha papo kwa hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…