gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Sina MB,we una unlimited,kazi rahisi, account inaonekana hapo unaingia vizuri tu,unarukia context sasaHiyo ni picha tu. Weka video tuone tujue na context.
Narudia tena, vandalism adhabu yake si kifo.
Sina MB,we una unlimited,kazi rahisi, account inaonekana hapo unaingia vizuri tu,unarukia context sasa
Mwamba kaweka wazi 'we will kill you'..hajaremba,na hapo ni Florida mji wa Trump
As long as umetoka kwrnye shithole country… huna tofautiNot in my dream in reality
Daah, shithole country?? 🤣As long as umetoka kwrnye shithole country… huna tofauti
Wavenezuela wenyewe kwa maelfu wameandamana kuunga mkono dikteta mtekaji na muuaji Maduro kutekwaRaia wa Marekani walijitokeza barabarani Chicago na Washington Jumamosi kupinga hatua ya kijeshi ya Marekani nchini Venezuela, wakisema ni uamuzi wa kifalme na wa kibeberu ambao haukupitishwa na Bunge la Marekani. Waandamanaji walibeba mabango yaliyopinga vita na kuhoji nia ya Ikulu ya White House, wakidai operesheni hiyo inalenga rasilimali ya mafuta kuliko maslahi ya watu wa Venezuela.
Ndiyo sina
Kwamba Florida siyo mji bali nchi eeh!?..kwamba dar siyo mji kwa kuwa kuna wilaya za temeke,ilala,kino, ubungo, kigamboni2. Florida siyo mji. Najua wewe ni mjinga tu ndo maana hulijui hilo.
Siyo sipitali bali ni hospital3. Nilijua huna uwezo wa kuelewa….
Sheriff kasema hivi:
“Ukitutemea mate, utaenda spitali na
Sasa ukirusha jiwe kumrushia nani utauawa!?..bomu la moto ni tofauti na kuchoma miundombinu na sheli siyo?..Hilo bomu la moto analosema ukirusha utauawa utalirusha wapi?jela”.
“Ukimpiga mmoja wetu, unaenda spitali na jela na kuna uwezekano ukang’atwa na mmoja wa mbwa wetu wazuri tulionao hapa”
“Ukirusha jiwe/ tofali, bomu la moto, au ukimnyooshea bunduki mmoja wa maafisa wetu, tutaitaarifu familia yako wapi pa kwenda kuuchukua mwili wako, kwa sababu tutakuua”
Ni wapi hapo aliposema kwamba uki vandalize mali utauwawa?
Nilijua tu huna akili maana huwezi kushabikia upumbavu wa Samia halafu ukawa na utimamu wa akili.
Wewe ni mweupe sana.Ndiyo sina
Kwamba Florida siyo mji bali nchi eeh!?..kwamba dar siyo mji kwa kuwa kuna wilaya za temeke,ilala,kino, ubungo, kigamboni
Siyo sipitali bali ni hospital
Sasa ukirusha jiwe kumrushia nani utauawa!?..bomu la moto ni tofauti na kuchoma miundombinu na sheli siyo?..Hilo bomu la moto analosema ukirusha utauawa utalirusha wapi?
Ngosha usiye na akili,ndiyo tatizo la kula michembe na kunya kuzunguka nyumba kwa muda mrefu
Wamarekani wenyewe ramani ya nchi Yao na states zao hawazijui, hawawezi onesha kwenye ramani,umeenda nchi ya watu kujitia kuijua,hapo ukiambiwa uoneshe kwenu simiyu kwenye ramani huweziWewe ni mweupe sana.
Na sina haja ya ku address vi hoja vyako hivyo vingine.
Ila nina swali, huo mji wa Florida uko sehemu gani huko Marekani?
hawa si ndo wale wanaharakati wakora hujaona wananchi wenyewe, infact hujaona ata wamarekani wamevamia trump tower, wanaharakati sisi tunawajua na tunaelewa namna ya kuishi naoWavenezuela wenyewe kwa maelfu wameandamana kuunga mkono dikteta mtekaji na muuaji Maduro kutekwa
View: https://youtube.com/live/ZebKQHBdaq4?si=-W5JgkghCYp85LWD
Huo ndo mji wa Florida? 🤣🤣🤣🤣Wamarekani wenyewe ramani ya nchi Yao na states zao hawazijui, hawawezi onesha kwenye ramani,umeenda nchi ya watu kujitia kuijua,hapo ukiambiwa uoneshe kwenu simiyu kwenye ramani huwezi
Florida hiyo hapo nyekundu
Wacha uongo,hawa si ndo wale wanaharakati wakora hujaona wananchi wenyewe, infact hujaona ata wamarekani wamevamia trump tower, wanaharakati sisi tunawajua na tunaelewa namna ya kuishi nao
Haisaidii ,mpeni salamu Madurorapa wenu kwamba naye atanyakuliwa tu.
Mhalifu ni wewe, chawa wahed 🚮hujacha uhalifu tu
Kazi yenu ngumu sana ,kuscreenshot meseji mnazotuma kisha mnamtumia TETERE BUBIHA MCHANGA kisha naye anatuma PO kwa Abdul ndiyo mnalipwa.