Where trump ameomba msaada? So far iran ana meli yoyotr ya kivita ambayo ni sea worthy?Iran wanasubiri meli zikatize mfereji wa Hormuz.
Trump anasema wana jeshi kubwa lenye uwezo bado anaomba msaada wa nchi zingine wamsaidie kupambana na Iran.
😅😅
Kibabu kimeisha changan'yikiwa kimetuma.ujumbe Oman iwasemeshe Iran kinataka kusimamisha vita Iran wamekataa mpaa wamtie adabu Israel awe akisikia neno Iran anakunja mkiaIran wanasubiri meli zikatize mfereji wa Hormuz.
Trump anasema wana jeshi kubwa lenye uwezo bado anaomba msaada wa nchi zingine wamsaidie kupambana na Iran.
😅😅
Kibabu kimeisha changan'yikiwa kimetuma.ujumbe Oman iwasemeshe Iran kinataka kusimamisha vita Iran wamekataa mpaa wamtie adabu Israel awe akisikia neno Iran anakunja mkia
Cheza na mtu mwingine usicheze na mbongo, jambo lolote nikifika kwa Mbongo linakuzwa na kuzalishwa zalishwa bila mpangilio wowote,Vip swala la kuomba msaada Ukraine iyo imekaaje
Maswala y wa bongo yametoka wapi bisha kwa hojaaCheza na mtu mwingine usicheze na mbongo, jambo lolote nikifika kwa Mbongo linakuzwa na kuzalishwa zalishwa bila mpangilio wowote,
Ni lini na wapi Trump ameomba msaada wa kusitisha vita?