Its only for missiles power 🤣Irani hawahitaji jeshi la majini,Iran wanahiji mitumbwi na milipuko kufunga lango la Hormuz. Habari ndio hiyo.
Kabisa yani Faida ya kumtwanga Mzee miaka 87 !!!USA na Israel wameishatoa boko la mwaka.. Hakutegemea walichokutana nacho
Ushajiuliza ugomvi wa Spain juzi na US umetokana na nini?Where trump ameomba msaada? So far iran ana meli yoyotr ya kivita ambayo ni sea worthy?
Pengine kwasasa kutokana na mashambulizi yamekuwa yanafatana itakuwa wameambiwa zaid wasichukue picha za Marehemu kwenye milipuko.
Leo wameripua tank za mafuta salalah kule Oman
Trump na wahuni wenzake wachache wanafikiri dunia ni yao na nchi zote kwamba zitawatiiKabisa yani Faida ya kumtwanga Mzee miaka 87 !!!
na kile sasa wanakutana nacho haaaa ujinga wa Kishamba kabisa
Eti ndio Viongozi wa Marekani Taifa kubwa
sijui tuseme limepata Viongozi Vilaza wamecheza ngoma ya Kitoto..
Iran walisema chokochoko yoyote yaVita tutawafanya mjutie milele!! Na ndio tunachokiona wanajutia,
Iran wanasubiri meli zikatize mfereji wa Hormuz.
Trump anasema wana jeshi kubwa lenye uwezo bado anaomba msaada wa nchi zingine wamsaidie kupambana na Iran.
😅😅