Trump: Tutashambulia Iran vikali zaidi kwa wiki 2 hadi 3 na kuwarudisha zama za mawe wanakostahili kuwa

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Akitoa hutoba yake kuhusu mwenendo wa vita vya Marekani-Israel dhidi ya Iran, Rais Donald Trump wa Marekani amesema kuwa nchi yake inakaribia kufanikisha malengo yake makuu ya kimkakati, akionya juu ya uwezekano wa kuongezeka zaidi kwa mzozo.

"Tutaishambulia Iran kwa nguvu kubwa sana kwa kipindi cha wiki mbili hadi tatu zijazo, tutawarudisha katika zama za mawe wanakostahili kuwa"-Alisema Rais Donald Trump

Trump, pia aliionya Iran kuhusu uwezekano wa mashambulizi dhidi ya miundombinu yake muhimu iwapo hakutafikiwa makubaliano.

“Iwapo hakuna makubaliano yatakayofikiwa, tutashambulia kwa nguvu mitambo yao yote ya kuzalisha umeme, huenda tukafanya hivyo kwa wakati mmoja,” alisema.

1775116178083.png

===========

The United States will carry out aggressive strikes on Iran over the next two to three weeks and is nearing completion of its main strategic objectives in the war, President Donald Trump said in a prime-time address to the nation on Wednesday.

Addressing a war-weary U.S. public, Trump said his military had delivered "swift, decisive, overwhelming victories on the battlefield," during 32 days ‌of military strikes and that Iran was no longer a security threat.

"I can say tonight that we are on track to complete all of America's military objectives shortly, very shortly," Trump said in a nationally televised address.
"We're going to hit them extremely hard over the next two to three weeks. We're going to bring them back to the Stone Ages where they belong."

Thousands of people have been killed across the Middle East since February 28, when the U.S. and Israel struck Iran, triggering Iranian attacks on Israel, U.S. bases and the Gulf states, while opening a new front in Lebanon.
The conflict, which prompted Iran to shut the Strait of Hormuz -- a key waterway carrying about a fifth of global oil supplies -- has rattled financial markets and weighed on Trump's sagging approval ratings months ahead of pivotal midterm congressional elections.

Source: Reuters
 
Unajisifu unazo nguvu za kijeshi lakin ni wewe ndiye unayeomba majadiliano ya kumaliza vita.
Vita siyo maneno.
Acha kipigwe tu mpaka heshima ipatikane.

Huyu ni mental case. Mpuuzeni baradhuli huyu. Linabwabwaja tu huku linashambuliwa!
 
Anashambuliwa wapi sasa, New York ama Washington?? Tehran imeharibiwa ..kwanini Tehran inapiga nchi ambazo hqziko nae vitani?? Ndo ujue irqn haipaswi kuwa na newclear kabisa MAANA itaonea wengine. Iran inapiga Dubai kwanini isipige Washington?
 
As long as hajafanikiwa lengo la ubabe wake, then anashambuliwa! Mwezi sasa.super powers.mbili zimemshindwa kuimaliza vita ya Iran! Huko ni kushambuliwa!

Declare interest: Mimi ni.muumini wa UDS, lkn anachokifanya sasa ni failure!
 
Iran kweli itarejea kwenye zama za mawe kwa sababu nchi imeharibiwa vibaya na hata hii serikali ikibahatika kubaki mamlakani watakuwa na kibarua kigumu cha kuanza kuijenga tena nchi huku wakiwa chini ya vikwazo vikali vya kiuchumi.

Visima na miundombinu ya mafuta na gesi vinatarajiwa kuharibiwa vibaya na safari hii hawatapata pesa ya kufadhili magaidi wao.
 
Hakuna nchi inapenda vita, na hata vita nilianza, mara zote kila nchi hujizuwia kuonyesha makucha yake na ubabe wake ulivyo kwa mapema

USA akiamua kutoa uhalisia wa alivyo, Iran itapotea ghafla

Sina maana kwamba Iran ni nchi isiyo na nguvu kijeshi, ila kwa USA ni mlima mrefu mno kwa USA

Kosa moja alilofanya Trump, wanajeshi wake wakiulizwa hivi wanapambania nini huko Iran, huwenda wasiwe na jibu la moja kwa moja, jibu la moja kwa moja wanalo wanajeshi wa Israel

Na ndiyo maana Trump hana mzuka wa Vita! Hii ni sawa na kusema, Marekani anapigana vita asivyo na faida yoyote isipokuwa ni kwa Israel
 
Iran inapiga Dubai
Sababu dubai yaani UAE kuna kambi za jeshi za USA na wameweka miundombinu kama radar na satellites zinazowasaidia US kuishambulia iran

Washington ni kilometer zaidi ya 15,000 kutoka Tehran so mpaka kombora lifike huko litakua intercepted ulaya tu hapo lakini pia huwezi ipiga threat ya maelfu ya kilometer wakati mlangoni pako tu kuna threat nyingine.
 
As long as hajafanikiwa lengo la ubabe wake, then anashambuliwa! Mwezi sasa.super powers.mbili zimemshindwa kuimaliza vita ya Iran! Huko ni kushambuliwa!

Declare interest: Mimi ni.muumini wa UDS, lkn anachokifanya sasa ni failure!
Hii nivita sio movie inadhani vita ni kupiga tu makombora mulize urusi huu mwaka wa 4 anapigana tena najirani yake nangoma bado subir hasara ni kwa iran mana ndiko kuna battle field hii vita itawatia umasikin mkubwaa
 
Back
Top Bottom