Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Tunastahili kusemwa maana akoli zetu hazichomi/hatunaakiliHuyu mbaba kila siku anatusema!..😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunastahili kusemwa maana akoli zetu hazichomi/hatunaakiliHuyu mbaba kila siku anatusema!..😅
ni maneno ya naniHiyo video tumeshasema mara kadha huku kuwa ni fake na siyo maneno ya Trump hayo.
Vipi kuhusu chanjo, dawa za malaria, vyandarua, dawa za magonjwa nyemelezi, tafiti mbalimbali katika sekta ya afya, miradi ya afya ya mama na mtoto, vitendanishi maabara (HIV,TB na Malaria)???Bajeti yetu $18+b, msaada wa marekani $300m,na msaada wenyewe kondomu, ARV,vidonge vya kuzuwia mimba, vilainishi vya machoko
kwani amemtukana mtu? Je, ni vibaya mtu kusema kweli?Anaweza kuongea kwenye vikao vya ndani.
Ila sio public, sio mjinga kiasi hicho kuharibu mahusiano ya nchi yake na Africa.
Marekani Inaihitaji sana Africa.
Naamini hiyo clip ni ya kutengeneza tu.
AI hiyo mkuuni maneno ya nani
Wewe kama nani mkuuKupitia hii video ndio utajua hap jf kuna watanzania wenye chuki na nchi, chuki na serikali, chuki wasizofahamu chchte.
Hii video ni ya kutengeneza. Hakuna raisi anaweza kuongelea race ya mtu hivo. Ever in this world.
Acheni chuki wana JF. Hiyo misaada sawa mlikua hamuipati nyie. Fahamu kama ilifika ilisaidia sana watu waathirika, imesaidia sana maeneo mengi yasiyokuwa na barabara za rami, mahospitali na mashule acheni chuki.
You ain't employed usiwe na chuki ya walioajiriwa.
Jana BBC ameongea X employer tena top wa USAID kaffungua kesi ya kurudishwa kazini watu zaidi ya 8000 pale marekani. Nyie kwanini mnachuki.
Ajira ni kitu kikubwa sana katika maisha ya sasa. Acheni chuki
Atatembeza spana huyu mwambaMessage sent to African leadersView attachment 3229163
CCM na chawa wao wakisikia haya maneno wanaweweseka kiwendawazimuWakimeza Wakitema Watajua Wenyewe
Gangwe mob😅wape vidonge vyao wakimeza wakitema shauri yaoWape wape vidonge vyao!
Viongozi wote wa nchi zilizoendelea wangekuwa hivi tangu zamani Afrika tungeshaendelea. Kwanza mimi naamini tunaweza kujitosholeza wenyewe kwa sababu fedha nyingi zinaishia kwa viongozi kuiba, matumizi ya anasa na yasiyo na ulazima.Huyu mbaba kila siku anatusema!..😅
Trump yuko sahihi sana, na si yeye tu anayesema hivi kwani hata wadhamini wetu huko Ulaya wanasema the same thing. Haiwezekani toka uhuru miaka inakwenda 70 sasa bado tu Waafrika tuko useless wakati tunapata pesa za wahisani. Wizi wa wazi kwa viongozi wetu, kutokuwa na dira ya kuona mbali kimaendeleo, ujinga, unawachosha wahisani kutusaidia. Inawezekanaje nchi za Asia zimepiga hatua ila sie tuko pale pale?Message sent to African leadersView attachment 3229163
Hizo story umepewa, acha kukaririWewe kama nani mkuu
Misaada hii imekuwa ikipigwa sana na wachache tu
Hanaga msaada wa maendeleo huyo,ni uwezeshaji na hizo dawa,baasi..Vipi kuhusu chanjo, dawa za malaria, vyandarua, dawa za magonjwa nyemelezi, tafiti mbalimbali katika sekta ya afya, miradi ya afya ya mama na mtoto, vitendanishi maabara (HIV,TB na Malaria)???