Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 2,223
- 3,961
Nimefurahi sana kusikia trump anavyojali raia wa africa, kwa kweli abane na hata afunge kabisa misaada yote . Pia EU ifanye hivyo hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa,ila walioisaidia nchi hii' na wanaoisaidia sana kimaendeleo ni ulaya,na sasa china,huyo bepari hakuwa na time na sisi mpaka alipolipua balozi zake ndiyo akajipenyeza saana,na hana la maana analotufanyiaMsaada wa Marekani hautokani na USAID tu
Msaada wa Marekani hautokani na USAID tu
Msaada wa Marekani hautokani na USAID tu
kwanini ninyi weusiAI hiyo mkuu
AI hiyo mkuu
Na wengine wenye misaada hiyo ya kimaendeleo ni akina nani na tuwekee rekodi zao hapa tuone.Hanaga msaada wa maendeleo huyo,ni uwezeshaji na hizo dawa,baasi..
China wametufanyia nini cha maana sanasana tuwekee ushahidi hapa tuone na utuwekee na waarabu na Russia pia tuzione ila usiingie mitini.Sawa,ila walioisaidia nchi hii' na wanaoisaidia sana kimaendeleo ni ulaya,na sasa china,huyo bepari hakuwa na time na sisi mpaka alipolipua balozi zake ndiyo akajipenyeza saana,na hana la maana analotufanyia
Message sent to African leadersView attachment 3229163
Unawashwa na udini,mi nimetaja waarabu hapa!?..misaada ya waarabu si mlikua mnaikataa mkidai inakuja na msahafu juu!!..tazara ulijenga wewe?..tafuta msaada wa soviet/urusi kwa nchi yako ujueChina wametufanyia nini cha maana sanasana tuwekee ushahidi hapa tuone na utuwekee na waarabu na Russia pia tuzione ila usiingie mitini.
Unaijua SIDA?Na wengine wenye misaada hiyo ya kimaendeleo ni akina nani na tuwekee rekodi zao hapa tuone.
ARVs zitakapoanza kukata ndo watakumbuka na akili kuwarejeaKupitia hii video ndio utajua hap jf kuna watanzania wenye chuki na nchi, chuki na serikali, chuki wasizofahamu chchte.
Hii video ni ya kutengeneza. Hakuna raisi anaweza kuongelea race ya mtu hivo. Ever in this world.
Acheni chuki wana JF. Hiyo misaada sawa mlikua hamuipati nyie. Fahamu kama ilifika ilisaidia sana watu waathirika, imesaidia sana maeneo mengi yasiyokuwa na barabara za rami, mahospitali na mashule acheni chuki.
You ain't employed usiwe na chuki ya walioajiriwa.
Jana BBC ameongea X employer tena top wa USAID kaffungua kesi ya kurudishwa kazini watu zaidi ya 8000 pale marekani. Nyie kwanini mnachuki.
Ajira ni kitu kikubwa sana katika maisha ya sasa. Acheni chuki
Swedish International Development Agency.Unaijua SIDA?
Hakuna aliyekataa misaada ya waarabu wewe acha uongo, misaada ya waarabu haipo kwani hawaamini ktk kusaidia, ona tu Yemen walivyo choka mbaya.Unawashwa na udini,mi nimetaja waarabu hapa!?..misaada ya waarabu si mlikua mnaikataa mkidai inakuja na msahafu juu!!..tazara ulijenga wewe?..tafuta msaada wa soviet/urusi kwa nchi yako ujue
Viongozi wetu ni hovyo kabisaWasitume hata 10 mbovu, marais wenyew huku hawajielewi eti wananunua magoli ya yanga na simba...kuna akili hapo?!.