Trump :USAID have made African countries very lazy.

Bajeti yetu $18+b, msaada wa marekani $300m,na msaada wenyewe kondomu, ARV,vidonge vya kuzuwia mimba, vilainishi vya machoko
Vipi kuhusu chanjo, dawa za malaria, vyandarua, dawa za magonjwa nyemelezi, tafiti mbalimbali katika sekta ya afya, miradi ya afya ya mama na mtoto, vitendanishi maabara (HIV,TB na Malaria)???
 
Anaweza kuongea kwenye vikao vya ndani.

Ila sio public, sio mjinga kiasi hicho kuharibu mahusiano ya nchi yake na Africa.

Marekani Inaihitaji sana Africa.

Naamini hiyo clip ni ya kutengeneza tu.
kwani amemtukana mtu? Je, ni vibaya mtu kusema kweli?
 
Hv kweli tunatumanwa Kwa sababu ya fedha isisyozidi trilion moja??
 
Wewe kama nani mkuu

Misaada hii imekuwa ikipigwa sana na wachache tu
 
Kama serikali ingekua inafutilia vizur na kusoma maoni wangejua watu wamechoka na matendo yao, watu wamebadilika kizazi cha giza kina pungua.
Hivyo governmen na watumishi ni mda wakujitafakari na kufanya mabadiliko yenye tija
 
Huyu mbaba kila siku anatusema!..πŸ˜…
Viongozi wote wa nchi zilizoendelea wangekuwa hivi tangu zamani Afrika tungeshaendelea. Kwanza mimi naamini tunaweza kujitosholeza wenyewe kwa sababu fedha nyingi zinaishia kwa viongozi kuiba, matumizi ya anasa na yasiyo na ulazima.
 
Message sent to African leadersView attachment 3229163
Trump yuko sahihi sana, na si yeye tu anayesema hivi kwani hata wadhamini wetu huko Ulaya wanasema the same thing. Haiwezekani toka uhuru miaka inakwenda 70 sasa bado tu Waafrika tuko useless wakati tunapata pesa za wahisani. Wizi wa wazi kwa viongozi wetu, kutokuwa na dira ya kuona mbali kimaendeleo, ujinga, unawachosha wahisani kutusaidia. Inawezekanaje nchi za Asia zimepiga hatua ila sie tuko pale pale?
 
Whatever might be said in respect of the video but we all agree that it reflects the reality concerning our impoverished continent.

These frequent aid handouts from the developed world are clearly having an impact on the continent's underdevelopment and it's high time they're totally abolished for the well being of this continent.

No continent on earth, if not a country, has ever developed courtesy of the aid handouts so it's time for Africa to learn to stand on its own feet and avoid the stigma of being treated like a mendicant.
 
Vipi kuhusu chanjo, dawa za malaria, vyandarua, dawa za magonjwa nyemelezi, tafiti mbalimbali katika sekta ya afya, miradi ya afya ya mama na mtoto, vitendanishi maabara (HIV,TB na Malaria)???
Hanaga msaada wa maendeleo huyo,ni uwezeshaji na hizo dawa,baasi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…