Trump :USAID have made African countries very lazy.

Msaada wa Marekani hautokani na USAID tu
Sawa,ila walioisaidia nchi hii' na wanaoisaidia sana kimaendeleo ni ulaya,na sasa china,huyo bepari hakuwa na time na sisi mpaka alipolipua balozi zake ndiyo akajipenyeza saana,na hana la maana analotufanyia
 
Msaada wa Marekani hautokani na USAID tu

Ni kweli, lakini unajua hata NGO nyingine zinaomba pesa USAID ili zitoke nje ya USA? Wafadhili wapo wengi ila ni pesa kiduchu kiduchu...Nimefanyakazi USAID na NGO za Marekani, huyo ndio mfadhili mkubwa!
 
Msaada wa Marekani hautokani na USAID tu

Mkuu hao wengine ni akina nani? Angalia Mashirika mengine yanachukua pesa kwa nani...?

These Are The Top USAID Recipients—From Religious Groups To Major U.S. Companies—As Trump Targets Agency​

Top Ngo Usaid Recipients (fiscal Years 2013-2022)​

1. Catholic Relief Services: $4.6 billion (nonprofit)

2. Chemonics International: $4.5 billion (for-profit)

3. FHI 360: $3.8 billion (nonprofit)

4. Development Alternatives, Inc.: $3 billion (for-profit)

5. ABT Associates, Inc.: $2.6 billion (for-profit)

6. RTI International: $2.3 billion (research institute)

7. John Snow International: $1.8 billion (nonprofit)

8. Save the Children Federation, Inc.: $1.5 billion (nonprofit)

9. ARD, Inc.: $1.5 billion (nonprofit)

10. Jhpiego Corporation: $1.3 billion (nonprofit)

11. Deloitte: $1.2 billion (for-profit)

12. World Vision: $1.2 billion (nonprofit)

13. Mercy Corps: $1.1 billion (nonprofit)

14. ADCI/VOCA: $1.1 billion (nonprofit)

15. Population Services International: $1.1 billion (nonprofit)

Source https://www.forbes.com/sites/sarado...roups-to-major-us-companies-as-trump-targets-
 
Sawa,ila walioisaidia nchi hii' na wanaoisaidia sana kimaendeleo ni ulaya,na sasa china,huyo bepari hakuwa na time na sisi mpaka alipolipua balozi zake ndiyo akajipenyeza saana,na hana la maana analotufanyia
China wametufanyia nini cha maana sanasana tuwekee ushahidi hapa tuone na utuwekee na waarabu na Russia pia tuzione ila usiingie mitini.
 
Yuko sawa kabisa kabisa. Misaada yote ya nje yaishia kutajirisha chukuwachakomapema!
 
China wametufanyia nini cha maana sanasana tuwekee ushahidi hapa tuone na utuwekee na waarabu na Russia pia tuzione ila usiingie mitini.
Unawashwa na udini,mi nimetaja waarabu hapa!?..misaada ya waarabu si mlikua mnaikataa mkidai inakuja na msahafu juu!!..tazara ulijenga wewe?..tafuta msaada wa soviet/urusi kwa nchi yako ujue
 
ARVs zitakapoanza kukata ndo watakumbuka na akili kuwarejea
 
Unawashwa na udini,mi nimetaja waarabu hapa!?..misaada ya waarabu si mlikua mnaikataa mkidai inakuja na msahafu juu!!..tazara ulijenga wewe?..tafuta msaada wa soviet/urusi kwa nchi yako ujue
Hakuna aliyekataa misaada ya waarabu wewe acha uongo, misaada ya waarabu haipo kwani hawaamini ktk kusaidia, ona tu Yemen walivyo choka mbaya.

Hiyo reli ya Tazara ilijengwa lini labda wewe ulikua hata hujazaliwa na labda ilikuwa ni fadhila ya tembo na vifaru wetu waliotumalizia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…