Trump wachina walimkera nini huyu mzee ? Maana ana waandama kila pande

Trump wachina walimkera nini huyu mzee ? Maana ana waandama kila pande

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
6,406
Reaction score
12,736
Hapa kazungumza na waziri mkuu wa Japan kuhusu hatua alizochukua kwa nyongeza ya ushuru na namna gani wanaweza fikia makubaliano na Japan.

Huyu mzee kaona haitoshi katika kuzungumzia Japan kaamua akazie kwa kuitaja China.
Screenshot_20250407_175121_Truth Social.jpg

Ni tishio gani serikali ya Trump inapata kutoka kwa China maana kila siku toka Trump katwaa madaraka haishi kuitaja China,China,China ?

Hata hizi tarrifs zilizowekwa nafikiri lengo ni China, kwa sababu Trump anaizungumzia zaidi China kila siku kuliko taifa mengine yaliyo baki yaliyo wekewa tarrifs.
 
Kuna tatizo gani ambalo halifahamiki kati ya China na Marekani maana Trump sasa imekuwa too much ni kila siku China,China,China,China
 
Ndugu yangu ww haujui uchina wewe.

China amemtesa sana marekani katika ukanda wa kodi kwa miaka mingi huku marekani akizidi kumuona mpinzani wake anazidi kuimarika katika level zake.

Mfano walitaka waende wawweke viwanda canada ili iwe rahsii kuingiza kwa kodi rahis sanan marekani.

Pia wachina wananunua ardhi kwa ukubwa mno marekani ila kwao marekani kwenda kuchukua ardhi kwa ukubwa china wanapata shida
 
Wanao nunua ardhi ni China kama nchi au wachina ? Na vipi kuhusu sheria za ardhi kati ya China na marekani zinawiana ?

Mind you moja ni taifa la kikomunisti lingine la kibepari
 
Wanao nunua ardhi ni China kama nchi au wachina ? Na vipi kuhusu sheria za ardhi kati ya China na marekani zinawiana ?

Mind you moja ni taifa la kikomunisti lingine la kibepari
Marekani ukiwa na hela unapata ardhi ila China kama bongo tena wao sheria zinasimamiwa achana na bongo tajir wa kikenya akihonga ardhi inaachiliwa kienyeji kama huyo mkenya ni mzawa vile
 
Marekani inamuhitaji China sana tuu.Marekani viwanda vyao wenyewe wamevisindika China,Vyakula wakulima wanauza China kwa wingi kuliko maeneo mengine,

Trump smart lakini muda utaongea....
 
Huo mzunguko wote wa kupandisha tariffs unaenda kuangukia Kwa wachina anayetafutwa hapo kwenye 18 ni china tu
 
Back
Top Bottom