Trump wachina walimkera nini huyu mzee ? Maana ana waandama kila pande

Trump wachina walimkera nini huyu mzee ? Maana ana waandama kila pande

Mwisho wa siku Trump atashindwa tu maana Mmarekani hawezi kuishi maisha anayoishi Mchina.

Mchina kushindia mhindi wa kuchoma na tikiti maji ni kawaida tu wakati Mmarekani lazima ale KFC kila siku
The only nice comment with fascinating truth
 
Ngoja waandamwe tu ni jamii ya watu fulani bogus kabisa.
 
kama ushawahi kufanya kazi kwa mchina utamuelewa trump
 
Ni kitu kidogo nacho ni wivu wa maendeleo.... Hamna sababu nyingie
 
Anaogopa ushindani. China kwa sasa amekua tishio marekani asipochukua hatua za haraka jahazi linazama
 
Hapa kazungumza na waziri mkuu wa Japan kuhusu hatua alizochukua kwa nyongeza ya ushuru na namna gani wanaweza fikia makubaliano na Japan.

Huyu mzee kaona haitoshi katika kuzungumzia Japan kaamua akazie kwa kuitaja China.
View attachment 3295929

Ni tishio gani serikali ya Trump inapata kutoka kwa China maana kila siku toka Trump katwaa madaraka haishi kuitaja China,China,China ?

Hata hizi tarrifs zilizowekwa nafikiri lengo ni China, kwa sababu Trump anaizungumzia zaidi China kila siku kuliko taifa mengine yaliyo baki yaliyo wekewa tarrifs.
USA anaogopa anajua China ndio taifa linaolweza kumtoa kwenye usuper power ndio taifa pekee lenye nguva kubwa kiuchumi na kijeshi ,russia ana nguvu kubwa kijeshi ila uchumi wapi yuko chini ila kama ni nchi inayowezakumngoa kileleni usa basi ni china ndio maana fujo fujo zinakuwepo.
 
Back
Top Bottom