HII NDIO THE BEST COMMENT SIKU NZIMA NIMESOMATatizo la "bashing'waa" ni macho madogo na utapeli.
Hakika.China ni threat Kwa US , wanakua Kwa Kasi kiuchumi na kiteknolojia, so lazima wa impose measure za kuwazuia na kuwadidimiza
Wanao nunua ardhi ni China kama nchi au wachina ? Na vipi kuhusu sheria za ardhi kati ya China na marekani zinawiana ?Ndugu yangu ww haujui uchina wewe.
China amemtesa sana marekani katika ukanda wa kodi kwa miaka mingi huku marekani akizidi kumuona mpinzani wake anazidi kuimarika katika level zake.
Mfano walitaka waende wawweke viwanda canada ili iwe rahsii kuingiza kwa kodi rahis sanan marekani.
Pia wachina wananunua ardhi kwa ukubwa mno marekani ila kwao marekani kwenda kuchukua ardhi kwa ukubwa china wanapata shida
Ulinganisho batili huo Fahari ni mmoja tu hapo.Fahari wawili hao
Marekani ukiwa na hela unapata ardhi ila China kama bongo tena wao sheria zinasimamiwa achana na bongo tajir wa kikenya akihonga ardhi inaachiliwa kienyeji kama huyo mkenya ni mzawa vileWanao nunua ardhi ni China kama nchi au wachina ? Na vipi kuhusu sheria za ardhi kati ya China na marekani zinawiana ?
Mind you moja ni taifa la kikomunisti lingine la kibepari
Huku kwetu burundi ndio wamekumbatiwa mpaka wanachezesha kamari vijijini sahivi wame upgrade token ni coin ya 500 sio 200 tenaTatizo la "bashing'waa" ni macho madogo na utapeli.
Aisee!Get rid of those bastards.Huku kwetu burundi ndio wamekumbatiwa mpaka wanachezesha kamari vijijini sahivi wame upgrade token ni coin ya 500 sio 200 tena
Kwa jinsi wanavgo impos hizo measure ndo kama wanachochea kuni tenaChina ni threat Kwa US , wanakua Kwa Kasi kiuchumi na kiteknolojia, so lazima wa impose measure za kuwazuia na kuwadidimiza