MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Tafuta ulipojikwaa sio ulipoangukia!
Desidii......even your spouse?? huwezi kumwamini? How did you come to be together then?Inakuwa ngumu sana aisee "Trust no One but yourself"
Wapendwa Habari za weekend?
Najua karibu kila mmoja wetu amewahi kumkosea/kosewa mwandani wake, awe mume/mke, mchumba, boy/galfriend, nyumba ndogo/ATM/MBA wake. Sisi sote tu binadamu na kukosea tumeumbiwa. Vile vile naelewa kuwa makosa yanatofautiana katika mahusiano, but yapo yale ambayo humfanya mwenzi wako akapunguza TRUST yake kwako (But si kosa la kuwafanya muachane).... So unajua kuwa now mwenzangu hanitrust tena.....
How do we amend this? Unafanyaje fanyaje kumrudisha mwenzako akutrust/amini tena kama mwanzo?
Mwenzako afanyaje ili umtrust tena kama mwanzo?
...Binafsi nachukulia TRUST kama nyufa (cracks!)..."usipoziba ufa utaujenga ukuta!"
Mapenzi ni sawa na ujenzi. Msingi imara ndiyo inayoisimamisha nyumba imara, ingawa nyufa ndogo ndogo za hapa na pale ni lazima zitatokea. ...na kwenye mapenzi ni hivyo hivyo. Aheri kuya address na mapema mapungufu yanayojitokeza kulikoni kuyaachia 'yaje yajirekebishe yenyewe' mbele ya safari. 'Kukumbushwa' haina maana mwenzio hakuamini tena...
Life has to go on, japo the past & present shapes the future lakini kuna haja kukubali ukweli kwamba hakuna mkamilifu duniani. Mwenzio anapokosea anastahili kusikilizwa, kueleweka na kusamehewa.... so long as hatafanya jambo ambalo naye hatopendwa kufanyiwa. Hapa kwa herufi kubwa nazungumzia 'Cheating!'...mwenzenu kwa umri wangu huu nadhani sitaweza kustahmili tena machungu yake -Mtanizika!
Mwj1, siku zote naamini na ninausimamia usemi "unapoaminiwa jiaminishe!" Ukishajiaminisha ushatimiza wajibu wako. Hivyo hivyo nami napaswa kujijengea msingi (Imara) wa kukuamini...that's all I can write baby.
Uwe na amani.
Ukibahatika kujua kwamba ulimdanganya kwa hilo, anzia hapo hapo kurekebisha mambo.
Sijui wanawake wangapi wana ujasiri wa kukiri "Nilim-save mwanaume kwa jina la kike" kwa wapenzi wao? Ni ngumu sana!!!
Lakin pamoja na yote, inategemea uliichezea TRUST ya mpenzi wako kwako mara ngapi. If ni several times, sometimes inakuwa ni impossible kuirudisha. If ni mara ya kwanza, unaweza. Kwa mfano niliosemea hapo juu, unaweza kufanya hivi.
- Kwanza punguza unnecessary outings.
- Jiweke karibu zaidi na mwenza wako muda mrefu uwezavyo
- Tumia simu yako bila woga wowote mbele yake, unaweza kumruhusu apokee hata baadhi ya simu zako (sio zote)
- Onyesha upendo zaidi kwa vitendo mara dufu kuliko maneno.
- Mshirikishe kwenye mambo yako mengi kadri uwezavyo, mfano kutumia email yako, kusoma msg zako, kutumia JF account yako (kama zipo)
- Mfanyie mambo ambayo hukuwahi kumfanyia kabla (Ingawa hii inaweza kuleta picha mbaya kwa wengine)
- Epuka kufanya mambo ya kuleta picha za usaliti
Mbu kwa physical examples, sikuwezi
I dont even trust myself....
How ca i trust you?????????????????
hahhh!...hapo kwenye wekundu hapana bana. Kunaweza zusha maswali mengi kuliko majibu.
Ila kuna hilo ulilozungumzia kama kosa la mara ya kwanza compared na previous experiences.
Hapa ndipo tunaposisitizwa kuacha excess baggages huko tulikotoka.
ha ha,...nini tena bana....mwenzako na uchungu hapa Mwj1 analalamika.
Mhhhh,u set thinking!
unafikiri analalamika kwamba haaminiwi tena ua kwamba hawezi kuamini tena?