MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Wapendwa Habari za weekend?
Najua karibu kila mmoja wetu amewahi kumkosea/kosewa mwandani wake, awe mume/mke, mchumba, boy/galfriend, nyumba ndogo/ATM/MBA wake. Sisi sote tu binadamu na kukosea tumeumbiwa. Vile vile naelewa kuwa makosa yanatofautiana katika mahusiano, but yapo yale ambayo humfanya mwenzi wako akapunguza TRUST yake kwako (But si kosa la kuwafanya muachane).... So unajua kuwa now mwenzangu hanitrust tena.....
How do we amend this? Unafanyaje fanyaje kumrudisha mwenzako akutrust/amini tena kama mwanzo?
Mwenzako afanyaje ili umtrust tena kama mwanzo?