Truth Or Dare:The Game...Play It...

Huu sasa ndiyo tunauita UUNGWANA wa kutuangalia na sisi tusio jua KIINGEREZA kwa kutufasiriwa kwa lugha yetu mama.

Sasa kutokea hapa naweza kuchangia katika hii mada.
 
πŸ˜€πŸ˜€
Umeolewa na una watoto wangapi ? Unaishi nao au wako kijijini ? Unapenda chakula gani ? Mihogo mibichi unakula ? Mara ya mwisho kula makande ilikuwa lini ? Kwanini ukivaa viatu huwa unaanza na mguu wa kulia ? Ulipigana mara ngapi ulilokuwa dara la kwanza ?
 
But I didn't choose whether truth or dare, ila twende tu....

Nimeolewa nina mapacha wa nje wawili na wote naishi nao, napendelea wali maharage/ njegere na kachumbari. Mara ya mwisho kula makande ni mwaka 2019 mwishoni mwishoni kwenye November/ December... Kuanza kuvaa kiatu na mguu wa kulia nahisi ni mazoea tu ya asili ni kama ilivyo kwenye kutembea tunaanza kunyanyua mguu wa kulia.

Sijawahi kupigana nikiwa darasa la kwanza.
 
HII MOVIE YA TRUTH OR DARE HUWA NAIPENDA SANA HASA PALE WAPOBADIRIKA SURA AFU ANAKWAMBIA TRUTH OR DARE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…