Truth Or Dare:The Game...Play It...

Truth Or Dare:The Game...Play It...

Truth or Dare ni mchezo. Unachezwa na watu wote.

Uko hivi
Kwa atayechagua Truth itambidi ajibu maswali atakayoulizwa haijalishi yakoje au yanahusu nini.

Na kwa atakayechagua Dare atachaguliwa cha kufanya.

Kwa mfano:mtu akichagua Dare
Utamwambia cha kufanya mfano;You Dare to kiss me.
Huu sasa ndiyo tunauita UUNGWANA wa kutuangalia na sisi tusio jua KIINGEREZA kwa kutufasiriwa kwa lugha yetu mama.

Sasa kutokea hapa naweza kuchangia katika hii mada.
 
😀😀
Umeolewa na una watoto wangapi ? Unaishi nao au wako kijijini ? Unapenda chakula gani ? Mihogo mibichi unakula ? Mara ya mwisho kula makande ilikuwa lini ? Kwanini ukivaa viatu huwa unaanza na mguu wa kulia ? Ulipigana mara ngapi ulilokuwa dara la kwanza ?
 
But I didn't choose whether truth or dare, ila twende tu....

Nimeolewa nina mapacha wa nje wawili na wote naishi nao, napendelea wali maharage/ njegere na kachumbari. Mara ya mwisho kula makande ni mwaka 2019 mwishoni mwishoni kwenye November/ December... Kuanza kuvaa kiatu na mguu wa kulia nahisi ni mazoea tu ya asili ni kama ilivyo kwenye kutembea tunaanza kunyanyua mguu wa kulia.

Sijawahi kupigana nikiwa darasa la kwanza.
 
HII MOVIE YA TRUTH OR DARE HUWA NAIPENDA SANA HASA PALE WAPOBADIRIKA SURA AFU ANAKWAMBIA TRUTH OR DARE
 
Back
Top Bottom