Truth Or Dare:The Game...Play It...

Ni kitu gani unachokijutia katika maisha yako mpaka hapo ulipofika?
Sijui umeotea au ni coincidence ila hilo swali huwa linaniumiza kiasi flani.
Jibu lake ni hakuna nnalojutia,nikirudi nyuma na kuangalia maamuzi makubwa zaidi niliyofanya ni Yale ambayo hata ningeambiwa nifanye Tena pengine ningefanya hivyo hivyo.ingawa matokea ya mengi niliyofanya yalikuja hasi zaidi,hayakufanikiwa yani lakini kiukweli hayakuwa makosa yangu(God's Plan).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…