Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,104
- 29,178
truthTruth or Dare
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
truthTruth or Dare
Ok tuendelee kuangalia game la Tz na Burundiby the way sina babe, ex wala crush Jf
In case u wanna get married how much bride price would u prefer?truth
utanipa matokeo😂Ok tuendelee kuangalia game la Tz na Burundi
Ata sio hela nyingi 😊😂😂 4M tuIn case u wanna get married how much bride price would u prefer?
Jamani 4 million cute mbona hata mimi ntawezanaAta sio hela nyingi [emoji4][emoji23][emoji23] 4M tu
Picha ipo wapi Darmian?Za kawaida tu sio nyingi kama inavyoonekana kwenye picha..umezoea kuona wanaume wenye miguu isiyo na nywele tu?
Truth.
Ulivyotamka hilo jina sasa,hadi nimeshikwa na wifu![emoji21][emoji21][emoji21]Picha ipo wapi Darmian?
Chagua dare bhana 😂Truth
Are u single or married?
Kwanini sasa unakunywa pombe hivyo?Inategemea
Ijumaa nakunywa bia 12 na k vant 3
Jumamos nakunywa bia nyingii hazina idadi
Weekdays sizidishi bia 6
Jumapili nakunywa k vant kubwa na maziwa
Truth or dare?
Aah!I'm not so lucky by the way I had already started liking and luv..ing you so let me cut off my dream [emoji4]Not married and am not single
ulitaka niseme M 100Jamani 4 million cute mbona hata mimi ntawezana
No iyo iyo inatosha uchumi saivi sio mzuri si unajua tupunguzie kidogo[emoji23][emoji23]ulitaka niseme M 100
Lakini nimeliandika tu sijatamka.Ulivyotamka hilo jina sasa,hadi nimeshikwa na wifu![emoji21][emoji21][emoji21]
Kama ni la kwangu umeandika hivyo yaani ningeprecum![emoji2089][emoji2089][emoji2089]Lakini nimeliandika tu sijatamka.
Sijui umeotea au ni coincidence ila hilo swali huwa linaniumiza kiasi flani.Ni kitu gani unachokijutia katika maisha yako mpaka hapo ulipofika?
Starehe tu.....Kwanini sasa unakunywa pombe hivyo?