Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
Thanks..
Huo unyunyu,utakuwa unanukia kama malaika
Aahahahahhaa kiasi cha mboga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thanks..
Huo unyunyu,utakuwa unanukia kama malaika
Are u single or married?Female
InategemeaKwa siku unakunywa bia ngapi?
13
Truth or dare?
Una watoto wangapi?Truth
KmmmmmkInategemea
Ijumaa nakunywa bia 12 na k vant 3
Jumamos nakunywa bia nyingii hazina idadi
Weekdays sizidishi bia 6
Jumapili nakunywa k vant kubwa na maziwa
Utapata tuSina.
Japo natamani.
Kawaida mkuu nimepunguza sana kwa kiwango hichoKmmmmmk
Truth or dare?Kwa siku unakunywa bia ngapi?
Hayo ni maji mengi sana mzee..mimi tokea nilewe na kuparamia demu asiyeeleweka nimepunguza sana mitungi..hivi visa havikukuti?Kawaida mkuu nimepunguza sana kwa kiwango hicho
Hapanaa mkuu...mimi nikilewa naimba tu mzikii kwa hisia kalii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hayo ni maji mengi sana mzee..mimi tokea nilewe na kuparamia demu asiyeeleweka nimepunguza sana mitungi..hivi visa havikukuti?
Truth or Dare choose oneenhee
[emoji23][emoji23][emoji23] basi upo vizuri mzee,endelea kulipa kodiHapanaa mkuu...mimi nikilewa naimba tu mzikii kwa hisia kalii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
dareTruth or Dare choose one
Dare to post your eyes here[emoji23]dare
Dare to post your eyes here[emoji23]