Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
shabikia tu njombe mji inatosha mkuuInamaana simba haina vijana hao kina makala bado wana mawazo ya ki ccm ccm hawataki ushindan wala mabadiliko wanaamini kwenye kutumia uongo,nguvu,vitisho
😆😆😆😆😆Mbona simba wamekanusha hawatambui hicho kikao
Nani ni Simba kuliko hao waliofanya Mkutano wa dharula?Mbona simba wamekanusha hawatambui hicho kikao
Wameandika barua kwenda uongozini kadiri ya mahitaji ya kikanuni?Mbona simba wamekanusha hawatambui hicho kikao
Hiki kikao ni batili. Kikao halali kinataka kesho chini ya Mwenyekiti wa Bodi Crecentius Magori.Klabu ya Simba SC imepitisha Baraza jipya la Wadhamini baada ya wanachama kulidhinisha katika Mkutano Mkuu wa Dharura uliofanyika leo, Agosti 2, 2026, Bunju jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa, Mwenyekiti wa Klabu hiyo alipendekeza jina la Salim Abdallah Muhene maarufu kama Try Again.
Wajumbe waliopitishwa katika Baraza jipya la Wadhamini ni Salim Abdallah Muhene, Dkt. Bill Kiwia, Alhaj Ismail Mohamed, Amos Makalla, Adam Mgoi, Hamad Abdallah na Hassan Hassan (Hassanoh).
Soma: Salim Abdallah 'Try Again' ajiuzulu uenyekiti bodi ya wakurugenzi Simba
Kwa mujibu wa Katiba ya klabu, mwanachama yeyote asiyeridhishwa na mapendekezo ya wajumbe anaweza kuwasilisha pingamizi lake kwa njia ya barua ili lifanyiwe tathmini kwa utaratibu uliowekwa.
Mkuu,nimemsikia Koffi Olomide anakuulizia.Anadai umetoroka kambi ya mazoezi.Natania.Hao si walishashindwa! Huyo Kanjibhai mchezo anaocheza hapo Simba ni wa kitoto sana.
Tafuteni "watu wa mpira" waendeshe mpira. Hao wazee washashindwa miaka kibao.
kwa hiyo Yanga ili ichukue ubingwa ni mpaka simba ihujumiane yenyewe kwa yenyewe? ukiona umezidiwa kaa chini,tafakari,jipange amka na nguvu mpya.Pale Simba Kuna kakikundi cha wahuni Kanacho shirikiana na Yanga Kuivuruga Timu yetu.
Hii miaka 5 kilichoipa yanga Ubingwa ni Wahuni wa ndani ya Simba. Wanao ihujumu Timu.
Mkuu,nimemsikia Koffi Olomide anakuulizia.Anadai umetoroka kambi ya mazoezi.Natania.
Chivunduuuuuu!
With the same meaning and articulation./§ivundi/Mkuu tofautisha kati ya Tchivundu na Chivundu. Chivundu ni jinamizi lile linalokaba usiku unashindwa kupumua.
Tchivundu ndio huyo QL member. 😊
With the same meaning and articulation./§ivundi/
Nimekupata mheshimiwa jinamizi.Malamu dii!
Bon,Merci ya mingi,mukubwa!🫸🫷Mbote malamu! Merci.
Bon,Merci ya mingi,mukubwa!🫸🫷