B Babuu Rogger JF-Expert Member Joined Nov 16, 2011 Posts 1,532 Reaction score 1,122 Aug 2, 2026 #21 Lizo mkristu said: Inamaana simba haina vijana hao kina makala bado wana mawazo ya ki ccm ccm hawataki ushindan wala mabadiliko wanaamini kwenye kutumia uongo,nguvu,vitisho Click to expand... Hivyo vitu vitatu umesahau kimoja ambacho ni "na NDUMBA"
Lizo mkristu said: Inamaana simba haina vijana hao kina makala bado wana mawazo ya ki ccm ccm hawataki ushindan wala mabadiliko wanaamini kwenye kutumia uongo,nguvu,vitisho Click to expand... Hivyo vitu vitatu umesahau kimoja ambacho ni "na NDUMBA"
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 47,397 Reaction score 101,204 Aug 2, 2026 #22 Manjagata said: Hiki kikao ni batili. Kikao halali kinataka kesho chini ya Mwenyekiti wa Bodi Crecentius Magori. Click to expand... Kwa mujibu wa katiba ya Simba?
Manjagata said: Hiki kikao ni batili. Kikao halali kinataka kesho chini ya Mwenyekiti wa Bodi Crecentius Magori. Click to expand... Kwa mujibu wa katiba ya Simba?