Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
"Elie Mpanzu ni mchezaji halali wa Simba alisaini mkataba wa miaka miwili tena alisaini ofisini kwangu sasa yanayoendelea kwasasa ni propaganda za kutaka kututoa kwenye reli tunamechi muhimu za kujadili kuliko mkataba wa Mpanzu kwasasa"
"Wanasimba wenzangu tupo kwenye kilele cha kufikia mafanikio ya kubeba kombe la shirikisho tuache kucheza ngoma ambayo hatuipigi sisi tujielekeze kwenye hizi fainali mbili ambazo zipo mbele yetu."